Rasmi: Kisinda ruksa kuichezea Yanga

Rasmi: Kisinda ruksa kuichezea Yanga

Onyango Tabu Ipo Pale Pale [emoji28][emoji28]
Onyango alimshika miguu TK Master akamuomba msamaha na "kumuamkua" jamaa , shikamoo TK Master!

Sipati picha itakuwaje TK Master, Aziz Ki, Feisal na Mayele hiyo kombination hata waje Real Madrid au Brazil wanakufa tu!

Asikwambie mtu hii Yanga tamu sana maana sasa tumesha jimilikisha makombe yote ya Bara, Africa na Dunia! lete mjinga yoyote tunampasua tu!
 
Akili huna..
 
achana nao hao mkuu huwa hawaelewi. tff waliweka very clear ila tatizo la viongozi wa yanga hii ya hersi ni kila jambo hata kama la kikanuni wao wanalichukulia kishabiki...
Yanga walisha wasiliana na Tuisila na kufahamu alikua huru, baada ya Yanga kuwa na uhakika Tuisila Yuko huru na muda wa usajili bado upo wakapeleka taarifa ya kutaka Kambole aondolewe kwenye usajili wa Yanga.

Kambole ata kama anaondolewa hakukua na tatizo kwakua atabaki kama mchezaji huru na Yanga walisha afikiana na Kambole.

Swala ITC linafanywa na FA ya nchi(TFF) ambayo klabu ya nchini kwake (Yanga)inataka kufanya usajili Kwaiyo si kama TFF Ilipenda sana Yanga na kuwaonea huruma Ili waombe ITC ya Kisinda ila ni lazima na niwajibu wao kufanya hivyo.

Kisinda alikua huru Kwaiyo hakukua na namna yoyote ITC yake ku kwama.

Katibu wa Tff ndie aliyeleta mizengwe na Sababu zisizo na mashiko kwakua muda ulikuwepo.

Mambo ya kusema Kambole Alisha ingizwa kwenye system yeye Yana muhusu Nini na CAF inataka wachezaji 40!!

Yanga walisha omba jina la Kambole liondolewe kwenye ligi ya ndani ili ingizwe la Kisinda na muda ulikuwepo, katibu akaweka upuuziwake ambao kwasasa anashindwa ku utetea na kudhalilika.
 
achana nao hao mkuu huwa hawaelewi. tff waliweka very clear ila tatizo la viongozi wa yanga hii ya hersi ni kila jambo hata kama la kikanuni wao wanalichukulia kishabiki...
Wewe Umar elewa tuambie inawekana vipi kufanya usajiri nje ya mda?
 
Kisinda ni Kweli alizuiliwa. Kama Yanga Wasinge Fanya Jitihada za Kumtema Huyo Mchezaji wao, Kisinda Asinge Cheza

Kosa La Waandishi Liko wapi?
Wanashadadia,wanakuza migogoro.

Waache kuchambua nje ya uwanja,wachambue mechi tu ndipo utaalam wao ulipo(kama kweli wanao).
 
Tukiweka siasa za mpira pembeni, uongozi wa Utopoloni kuna changamoto kubwa sana.
 
Yanga walisha wasiliana na Tuisila na kufahamu alikua huru, baada ya Yanga kuwa na uhakika Tuisila Yuko huru na muda wa usajili bado upo wakapeleka taarifa ya kutaka Kambole aondolewe kwenye usajili wa Yanga...
kisinda yujko huru kwahiyo kasajiliwa yanga mkataba wa miaka mingapi [emoji23][emoji23][emoji23] yuko kwa mkopo wa kwa taarifa yako.

eti wachezaji 40 wakati TFF kanuni inasema wachezaji 12 tu [emoji23][emoji23][emoji23] kama 40 huyo kambole mmemkata wa nn. yan tanzania bana mpira mnapenda ila kujifunza kanuni au kuzijua mtihani sana. mihemko tu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu nikufundishe kitu uelewe na uwaeleweshe utopolo wenzako, kukata jina la mchezaji ambaye ameshapata leseni lazima system ionyeshe kuwa katoka kwenda timu fulani au kumvunjia mkataba sio kukata tu.

Ndiyo maana tff walivyowaambia yanga yanga wakamtoa kwamkopo wakiso giants system ikaonyesha kuna pungfu ya mchezaji m1 jina la kisinda likaingia. tumia akili acha vijiwe vya kahawa au muda mwingine nendeni tff kanuni zipo mjifunze
 
Kambole Alikuwa Hajapata Timu, Kitu kilicho Fanya Yanga Kuendelea Kusomeka Kuwa na Wachezaji 12 wa Kigeni. Na Mwanzo Yanga Hawakuwa katika Mpango wa Kuachana Na Kambole. Mpango wa Kuachana na Kambole Umekuja Baada Ya TFF kuwashauri kuwa Waachane na Mchezaji Mmoja Ndio Yanga Wakaona Wamtoe Kafala Kambole. TFF isingeweza Kubariki Uhamisho wa Kisinda wakati KAMBOLE HAJAPATA timu.
We jamaa kweli kiande...kwani ilikua lazima kambole apate timu...? Yacuba si yupo yanga pale kwani anatimu.? Issue ni registration tuu..wheteher huyu ni mchezaji wetu wa 12 ama laah.......
 
We jamaa kweli kiande...kwani ilikua lazima kambole apate timu...? Yacuba si yupo yanga pale kwani anatimu.? Issue ni registration tuu..wheteher huyu ni mchezaji wetu wa 12 ama laah.......
yes ilikuwa lazima kwakuwa amesajiliwa msimu huu na usajili umekamilika ana leseni tayari. unamtoaje kienyeji? kumbuka hizi leseni zinenda kutumika hadi Caf ndio maana mchezaji akishapata leseni akihama msimu huo achezi tena mashindano ya caf. mfano chama msimu uliopita. yacouba hayupo katika usajili wa mwaka huu. hajasajiliwa na yanga msimu huu na hana leseni.
 
Unaweza kufanya Makubaliano Binafsi na Mchezaji na Mkafikia Terms zote za mikataba, Linapo Kuja Suala La Kuanza Kumtafutia Vibari huwa ni Jambo Jingine.

Wachezaji Wengi Hutangazwa Kusajiriwa kabla hata ya Vibari toka TFF havijatoka na Baada ya Hapo Huanza Kuwaombea Vibari ndio Maana Mchezajo anaweza kutangazwa public lakini Asicheze.

Yanga Ilimtangaza Kisinda Kabla hata Vibari Toka TFF havijatoka wakiwa na wazo La Kuja Kuachana na Mchezaji Mmoja. Baada ya Kuanza Kuomba Vibari

ndio Changamoto hiyo ikatokea.

Kumbuka Yanga Walikuwa wana Ipa Pressure TFF ya Kutaka Kumruhusu Kisinda Acheze wakati kambole Tayari alikuwa na ICT ya Kucheza Tanzania na TFF ndio Ilikuwa Msimamizi wake, Kama TFF ingekubali Pressure ya YANGA bila Kumzingatia Kambole, Basi Kambole Angeweza Kushtaki Fifa Kwa Kufanyiwa Hujuma
We jamaa unajifanya mjuaji...afu unaandika vepaa nyingii mno....we kashabikie taarab mpiea tuachie sisi
 
yes ilikuwa lazima kwakuwa amesajiliwa msimu huu na usajili umekamilika ana leseni tayari. unamtoaje kienyeji? kumbuka hizi leseni zinenda kutumika hadi Caf ndio maana mchezaji akishapata leseni akihama msimu huo achezi tena mashindano ya caf. mfano chama msimu uliopita. yacouba hayupo katika usajili wa mwaka huu. hajasajiliwa na yanga msimu huu na hana leseni.
Kwani wakati kisinda anasajiliwa ilikua nje ya mda.? CAF sio kwamba hawana akili kama wewe wanajua kwamba kunawezekana mchezaji hakaumia hivyo kwenye taratibu kuna exception kama walizo tumia Yanga cha msingi mchezaji asajiliwe kwa wakati....lakini sio kwa sababu ulizosema hapo man
 
hivi unajua unachokiongea au kukiandika au [emoji23][emoji23]
Hivi unajua kanuni zilizomzuia kisinda ndio zilizomruhusu? Afu Bado unataka kubisha kwamba Tff hakuna wapuuz??
 
Hivi unajua kanuni zilizomzuia kisinda ndio zilizomruhusu? Afu Bado unataka kubisha kwamba Tff hakuna wapuuz??
hivi kanuni kama haijafuatwa kinatokea nn na ikishafuatwa nini kinatendeka. siku hizi jf ina watu wajinga kiasi hiki siamini [emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom