adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
sikiliza wewe, kuwa na wachezaji 40 caf sawa ila kwa tanzania tff wameweka kanuni ni wachezaji 12 tu. kwahiyo hata ukiwa na 60 jua caf watacheza hao hao 12 tu. kucheza caf lazima uwe na leseni ya ndani (ya tff) sasa wewe sajili 60 uone tff watatoa leseni kwa wachezaji wangapi[emoji23][emoji23]Kwani wakati kisinda anasajiliwa ilikua nje ya mda.? CAF sio kwamba hawana akili kama wewe wanajua kwamba kunawezekana mchezaji hakaumia hivyo kwenye taratibu kuna exception kama walizo tumia Yanga cha msingi mchezaji asajiliwe kwa wakati....lakini sio kwa sababu ulizosema hapo man