Onyango alimshika miguu TK Master akamuomba msamaha na "kumuamkua" jamaa , shikamoo TK Master!Onyango Tabu Ipo Pale Pale [emoji28][emoji28]
Akili huna..Onyango alimshika miguu TK Master akamuomba msamaha na "kumuamkua" jamaa , shikamoo TK Master!
Sipati picha itakuwaje TK Master, Aziz Ki, Feisal na Mayele hiyo kombination hata waje Real Madrid au Brazil wanakufa tu!
Asikwambie mtu hii Yanga tamu sana maana sasa tumesha jimilikisha makombe yote ya Bara, Africa na Dunia! lete mjinga yoyote tunampasua tu!
Yanga walisha wasiliana na Tuisila na kufahamu alikua huru, baada ya Yanga kuwa na uhakika Tuisila Yuko huru na muda wa usajili bado upo wakapeleka taarifa ya kutaka Kambole aondolewe kwenye usajili wa Yanga.achana nao hao mkuu huwa hawaelewi. tff waliweka very clear ila tatizo la viongozi wa yanga hii ya hersi ni kila jambo hata kama la kikanuni wao wanalichukulia kishabiki...
Anajifanya anajua na hajuiNa wewe si ujitahidi kuelewa! ICT ndiyo nini? Ni mafunzo ya computer hayo?
Wewe Umar elewa tuambie inawekana vipi kufanya usajiri nje ya mda?achana nao hao mkuu huwa hawaelewi. tff waliweka very clear ila tatizo la viongozi wa yanga hii ya hersi ni kila jambo hata kama la kikanuni wao wanalichukulia kishabiki...
Kuhakishia umma kwa hato cheza mpaka dirisha dogo.Kisinda ni Kweli alizuiliwa. Kama Yanga Wasinge Fanya Jitihada za Kumtema Huyo Mchezaji wao, Kisinda Asinge Cheza
Kosa La Waandishi Liko wapi?
Nani amefanya usajili nje ya muda? Mashabiki ya Simba huwa ni kama matilatila fulani hivi!Wewe Umar elewa tuambie inawekana vipi kufanya usajiri nje ya mda?
Tz hatuna wachambuzi tunawachambajiHaya wale wachambuzi uchwara njooni hapa tuchambue
Wanashadadia,wanakuza migogoro.Kisinda ni Kweli alizuiliwa. Kama Yanga Wasinge Fanya Jitihada za Kumtema Huyo Mchezaji wao, Kisinda Asinge Cheza
Kosa La Waandishi Liko wapi?
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni Lazarous Kambole...
Mama Pasco Capt Tamar Utingo green rajabTz hatuna wachambuzi tunawachambaji
nje ya muda vipi wakati ITC yake ilikuja ndani ya muda. Hivi unajua hizi sajili zinavyofanyika au unaleta porojo tuWewe Umar elewa tuambie inawekana vipi kufanya usajiri nje ya mda?
kisinda yujko huru kwahiyo kasajiliwa yanga mkataba wa miaka mingapi [emoji23][emoji23][emoji23] yuko kwa mkopo wa kwa taarifa yako.Yanga walisha wasiliana na Tuisila na kufahamu alikua huru, baada ya Yanga kuwa na uhakika Tuisila Yuko huru na muda wa usajili bado upo wakapeleka taarifa ya kutaka Kambole aondolewe kwenye usajili wa Yanga...
We jamaa kweli kiande...kwani ilikua lazima kambole apate timu...? Yacuba si yupo yanga pale kwani anatimu.? Issue ni registration tuu..wheteher huyu ni mchezaji wetu wa 12 ama laah.......Kambole Alikuwa Hajapata Timu, Kitu kilicho Fanya Yanga Kuendelea Kusomeka Kuwa na Wachezaji 12 wa Kigeni. Na Mwanzo Yanga Hawakuwa katika Mpango wa Kuachana Na Kambole. Mpango wa Kuachana na Kambole Umekuja Baada Ya TFF kuwashauri kuwa Waachane na Mchezaji Mmoja Ndio Yanga Wakaona Wamtoe Kafala Kambole. TFF isingeweza Kubariki Uhamisho wa Kisinda wakati KAMBOLE HAJAPATA timu.
yes ilikuwa lazima kwakuwa amesajiliwa msimu huu na usajili umekamilika ana leseni tayari. unamtoaje kienyeji? kumbuka hizi leseni zinenda kutumika hadi Caf ndio maana mchezaji akishapata leseni akihama msimu huo achezi tena mashindano ya caf. mfano chama msimu uliopita. yacouba hayupo katika usajili wa mwaka huu. hajasajiliwa na yanga msimu huu na hana leseni.We jamaa kweli kiande...kwani ilikua lazima kambole apate timu...? Yacuba si yupo yanga pale kwani anatimu.? Issue ni registration tuu..wheteher huyu ni mchezaji wetu wa 12 ama laah.......
Unaweza kufanya Makubaliano Binafsi na Mchezaji na Mkafikia Terms zote za mikataba, Linapo Kuja Suala La Kuanza Kumtafutia Vibari huwa ni Jambo Jingine.
Wachezaji Wengi Hutangazwa Kusajiriwa kabla hata ya Vibari toka TFF havijatoka na Baada ya Hapo Huanza Kuwaombea Vibari ndio Maana Mchezajo anaweza kutangazwa public lakini Asicheze.
Yanga Ilimtangaza Kisinda Kabla hata Vibari Toka TFF havijatoka wakiwa na wazo La Kuja Kuachana na Mchezaji Mmoja. Baada ya Kuanza Kuomba Vibari
ndio Changamoto hiyo ikatokea.
We jamaa unajifanya mjuaji...afu unaandika vepaa nyingii mno....we kashabikie taarab mpiea tuachie sisiKumbuka Yanga Walikuwa wana Ipa Pressure TFF ya Kutaka Kumruhusu Kisinda Acheze wakati kambole Tayari alikuwa na ICT ya Kucheza Tanzania na TFF ndio Ilikuwa Msimamizi wake, Kama TFF ingekubali Pressure ya YANGA bila Kumzingatia Kambole, Basi Kambole Angeweza Kushtaki Fifa Kwa Kufanyiwa Hujuma
Kwani wakati kisinda anasajiliwa ilikua nje ya mda.? CAF sio kwamba hawana akili kama wewe wanajua kwamba kunawezekana mchezaji hakaumia hivyo kwenye taratibu kuna exception kama walizo tumia Yanga cha msingi mchezaji asajiliwe kwa wakati....lakini sio kwa sababu ulizosema hapo manyes ilikuwa lazima kwakuwa amesajiliwa msimu huu na usajili umekamilika ana leseni tayari. unamtoaje kienyeji? kumbuka hizi leseni zinenda kutumika hadi Caf ndio maana mchezaji akishapata leseni akihama msimu huo achezi tena mashindano ya caf. mfano chama msimu uliopita. yacouba hayupo katika usajili wa mwaka huu. hajasajiliwa na yanga msimu huu na hana leseni.
Hivi unajua kanuni zilizomzuia kisinda ndio zilizomruhusu? Afu Bado unataka kubisha kwamba Tff hakuna wapuuz??hivi unajua unachokiongea au kukiandika au [emoji23][emoji23]
hivi kanuni kama haijafuatwa kinatokea nn na ikishafuatwa nini kinatendeka. siku hizi jf ina watu wajinga kiasi hiki siamini [emoji849][emoji849]Hivi unajua kanuni zilizomzuia kisinda ndio zilizomruhusu? Afu Bado unataka kubisha kwamba Tff hakuna wapuuz??