PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndio maana wamekupelekeni Mahakamani kwa huo ubaguzi wenu
 
Kkiihalisia hii inaenda kuipa chadema airtime na mileage kubwa kitaifa na kimataifa zaidi. Anayewashauri Ccm ni mjinga
 
Reactions: UCD
Mnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.
alafu kuitoa aingue nan labda, maana ccm kokote unakupita ni ccm, jeshi loote ni ccm. ndio maana unaona mameja ni wakuu mikoa na wilaya,
 
CHADEMA ifuate Amri halali ya Mahakama, maana wakikaidi kidogo tu watapata taabu sana.
 
Kama ndiyo uhuru huu ulilletwa basi tungebaki na mkoloni ingekuwa bora, hata Rais Kingwendu Kama huyu hatungekua naye. Uhuru umeleta ukimwi, umasikini kila kitu kibaya, kuna kitu kizuri sema kimoja tu? Labda kufanya matusi Kama mbwa!
 
S
Suala la kisheria halihitaji ubishani
 
Bila ya wanaCCM kushtuka, huyu bibi ataiua CCM.

1. Alimtumia waziri mzanzibari, katibu wa wizara mzanzibari, mwanasheria wa wizara mzanzibri, na mkurugenzi wa bandari mzanziari, kuiuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu.

2. Alimtumia waziri mzanzibari, kuuza uwanja wa ndege wa Arusha kwa mwarabu.

3. Alimtumia mkwe wake kuuza mbuga za wanyama za Watangamyika kwa mwarabu.

4. Leo anamtumia jaji mzanzibari kupora haki za kisiasa za watanganyika.

Huyu, anaifanya CCM ichukiwe na kila mtanganyika mwenye akili na mwenye kulipenda taifa lake.
 
Reactions: UCD
Kuna mtu amekomenti juu ya huu uamuzi akiuliza, Je, Jaji amejiuliza swali kama madhara ya uamuzi wake yanaweza kufidiwa vipi iwapo Chadema watashinda hiyo kesi?

Vv
 
Hili swala sijaelewa inamaana shughuri hizo kusimama ni kwa zenji bahari? Lkn malalamiko juu ya shauri Hilo si lilitolewa na wanachadema? Anyway inawezekana Kuna sehemu sijaelewa
 
USENGE SANA, Zanzbar wana mchango gani kifedha ndani ya CHADEMA? Zanzbar kama nchi ina mchango gani ktk serikali ya muungano? Tunaona mzanzibar anauza rasilimali za Tanganyika pekee. Huu ni upuuzi
 
USENGE SANA, Zanzbar wana mchango gani kifedha ndani ya CHADEMA? Zanzbar kama nchi ina mchango gani ktk serikali ya muungano? Tunaona mzanzibar anauza rasilimali za Tanganyika pekee. Huu ni upuuzi
Hayo maswali yako subiria siku ya hiyo kesi ukamulize jaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…