slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 688
- 701
No reforms no electionumeelewa nlichosema ama umeruka tone tone
No reforms no electionumeelewa nlichosema ama umeruka tone tone
View attachment 3363528
ukifika apa waambie wewe ni mwana kikundi wa tone tone, watakuruhusu bila kukuchangisha chochote
sawa mzee wa tone tone, mda wa kuandamana ushafika mje front sasaNo reforms no election
🤣 🤣 usiogope hawawezi kukuchangisha
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi🤣 🤣 usiogope hawawezi kukuchangisha
Siku hizi sikuelewi kabisa chiefTUKINUKISHE
No reforms no electionsawa mzee wa tone tone, mda wa kuandamana ushafika mje front sasa
Ndugu yangu mbona mimi nawewe tupo sawa kabisa.Siku hizi sikuelewi kabisa chief
Ushakuwa shushushu hueleweki
Mkiambiwa mtii mamlaka hamtaki. Kula chuma hicho.DUuu,,,spana kila kona.
Ilikuwa kipindi cha Magufuli na mwanzoni mwa utawala huuNdugu yangu mbona mimi nawewe tupo sawa kabisa.
Hii ndo point halali tuMnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.
Hapana ndugu,utakua umenihisi vibaya.. mimi bado ni yule yule mzalendo na mtanzaniaIlikuwa kipindi cha Magufuli na mwanzoni mwa utawala huu
Kwa sasa wewe sio mwenzetu, ni mchokoza mada huku ukiwa na namna yako
✋
Hata wajomba wako tayari
Huyu mama anahangaika sana sijui hata shida ni nini? Na huyo jaji aliyetoa hiyo hukumu anaonekana ni mzanzibar kabisa .
Atamaliza miaka yake mi5 ataondoka na watu wake wote aliowapachika vyeo Tanganyika.
Wapigwe sana tu paka hao!Wakikaidi amri ya mahakama,polisi watapata haki uhalali wakupiga virungu vya ugoko , Ngoja tuone.
Ccm ndio mahakama, ndio polisi, ndio muuaji,.mtekaji, mfiraji na hakuna wa kumfanya chochote, ndio kila kitu nchi hii hakuna mwenye haki zaidi ya ccmIliyoamua ni mahakama sio CCM
We jidanganye kisha ujichanganye uone!!Huu ni ushindi mkubwa sana kwa Chadema huu ni ushindi mkubwa sana kwa No reform No Election huu ni ushindi mkubwa kwa wapigania Haki mana imejidhihirisha dhahiri shahiri kua CDM imekua tishio kwa wanaonufaika na rasilimali za watamganyika wanaogopa wananchi wanavyofumbuliwa macho tusihidhunike hata kidogo hii ndio njia ya ukombozi wankweli tunaelekea kuzuri.Tumshukuru alieshauri haya nakuruhusu yatokee Dunia imejua wananchi wanaona nani haitakii mema nchi yetu
No reform No Election