slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 688
- 701
Huyu alikuwa atupige bei mazima kwa mbogamboga shukran za dhat kwa mhe. Lissu kusanua
Huyu alikuwa atupige bei mazima kwa mbogamboga shukran za dhat kwa mhe. Lissu kusanua
kwani ujaji ni peremende gentleman?🐒Mpeni Jebra ujudge tuone.
bila yeye huyo lisu angeozea nyumban kwa robert amsterdam, sema simlaumu maaana anaowaongoza ndo mangombe wanadhan wanajua siasa kumbe matangoHuyu alikuwa atupige bei mazima kwa mbogamboga shukran za dhat kwa mhe. Lissu kusanua
ewaa sasa endelea ivo ivo kucomment mpaka vidole viote sugu sisi kama kawaida oktoba tunatiki na amna mnachoweza kufanya zaidi ya kwenda nairobi kupata matibabu ya begaNo reforms no election
tafuta ela sio sifa nzuri hioUsijipe uhakika wa kwamba unajua kwa machale kila kituo cha polisi kilichowahi kudeal na mimi niliwaachia msiba.
Mimi ninmpangwa mtiifu wa mila na desturi kisawasawa..
Ahsante.Nguvu ya umma tu ndiyo itaweza kuleta mabadiliko yaani reforms .
Kichwa ni nani ? Aliye juu ya maamuzi ya mwisho kabisa ndiyo kichwa ...hivyo waislamu awafai kiwa viongozi na sababu nimezitoa hakuna muislamu anaye weza kuwa mzalendo wa kweli. Kama mimi ni muongo nitajie kiongozi mmoja tu mzalendo wa kweli aliye muislamu.Wacha kauli za utenganisho hiyo mikutano inajaa wakristo watupu?? Wagomvi wetu ni watawala unafikiri Samia anaamuwa pekeyeke?? Kina Kabudi Mwigulu Lukuvi Nk ni waislaam?? Au Mwaipopo wewe unapitia mlango wa nyuma??
CHADEMA ni dude kubwa mno kumbe
Subili watakavyo anza , kupukutika ndo mtajua hamjuiNapekua makabrasha nione kama naweza kusaidia chochote
Tuliasisi hiki chama kwa lengo jema kabisa japo wengine tulirudi CCM lakini ni sehemu ya historia ya Chadema
Ahsanteni sana 🇹🇿
Acha unafiki, ccm ilishakataliwa na umma imebakiza vijikundi vya machawa tuNapekua makabrasha nione kama naweza kusaidia chochote
Tuliasisi hiki chama kwa lengo jema kabisa japo wengine tulirudi CCM lakini ni sehemu ya historia ya Chadema
Ahsanteni sana 🇹🇿
Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wowote!Napekua makabrasha nione kama naweza kusaidia chochote
Tuliasisi hiki chama kwa lengo jema kabisa japo wengine tulirudi CCM lakini ni sehemu ya historia ya Chadema
Ahsanteni sana 🇹🇿
Mbowe akumbuke Kiongozi mjinga huwatesa Watu wake 🐼Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wowote!
Napekua makabrasha nione kama naweza kusaidia chochote
Tuliasisi hiki chama kwa lengo jema kabisa japo wengine tulirudi CCM lakini ni sehemu ya historia ya Chadema
Ahsanteni sana 🇹🇿
CCM inahusikaje na Mahakama?CCM ni chama kinapenda kitonga...