ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,149
- 2,835
Yani mwanaume akose maneno??we ke ndo huwezi kusema loloteErythrocyte sijui atakuwa anaripoti nini maskini!!
Yani mwanaume akose maneno??we ke ndo huwezi kusema loloteErythrocyte sijui atakuwa anaripoti nini maskini!!
Sio jambo jepesi kuifitia cdm usajili.Njia za ccm zinajulikana miaka yote.
Na hii kesi haitaisha hata baada ya miaka 10, na kitakachofuata ni kuifutia usajiri.
Lakini hilo halifanyi ccm ipendwe.
Mwisho wa maisha yetu ni kifo tutakufaje Mungu ndio anajuaWe jidanganye kisha ujichanganye uone!!
Usijipe uhakika wa kwamba unajua kwa machale kila kituo cha polisi kilichowahi kudeal na mimi niliwaachia msiba.nakuona verified keyboard warrior, ukiwa nyuma ya keyboard una six packs ila ikifika sasa mda wa kwenda front line unajificha kwenye vibanda vya juice ya miwa
No reforms no election
Mpeni Jebra ujudge tuone.bundi mweusi aukali kooni uongozi mpya wa chadema mbaya sana, dah!
Jebra kambole na ukambale wake ule katika sheria kasalimu amri mahakamani?
inasikitisha sana inafedhehesha sana aise![]()
Wallah ningekuwa na mzazi chawa kama huyu tusingepatana.Unaweza kuwa baba nauna provide Kila hitaji nyumbani lakini kunamambo flani flani ya kipuuzi ukifanya hata watoto wako ulio wazaa mwenyewe wanakudharau.
Aibu sana hii.
LOOooooh!Mnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.
CCM inekufa haowanafanyakazi Kwa niaba ya naniKutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa
Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk
Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,
Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,
Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.
View attachment 3363251
Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku
View attachment 3363259
Source: Jambo TV
Kama mimi ni ke sawa, basi mtume mamaako au mkeo au bintiyo aje akae kwangu wiki. Kama huna nauli niambie nitume.Yani mwanaume akose maneno??we ke ndo huwezi kusema lolote
Wacha kauli za utenganisho hiyo mikutano inajaa wakristo watupu?? Wagomvi wetu ni watawala unafikiri Samia anaamuwa pekeyeke?? Kina Kabudi Mwigulu Lukuvi Nk ni waislaam?? Au Mwaipopo wewe unapitia mlango wa nyuma??Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
Sasa watahudhuria vipi kesi wakati wamezuiwa kufanya shughuri za chama!Maana yake ni kwamba CHADEMA ni kina nani? Maana kama waleta maombi wanasema wao ni CHADEMA ila wanataka chama chao kizuiwe kufanya siasa, inaeleweka kweli hii?
Kuwachoma moto maccmMnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.