Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Huyo Judge hana tofauti na police watekaji na wauaji, ameharibu kabisa heshima za majaji nchi nzima
Ulikuwa bado hujazaliwaLini Zanzibar ilianzisha chama kikawa na nguvu bara. Nawachukia sana Wazanzibar muungano wa kichoko huu.
Of course ndivyo lipaswa, swali, ni Chama gani! Kuna wanaopewa chopper, halafu wale wa nafasi ya pili...No Reforms No Election iendeshwe kupitia chama kingine cha siasa mpaka pale Chadema itakapotoka kwenye kifungo cha mahakama.
Cc Nguruvi3, Erythrocyte
Of course ndivyo lipaswa, swali, ni Chama gani! Kuna wanaopewa chopper, halafu wale wa nafasi ya pili.
Kwa namna nyingine ni ''bahati mbaya jema'' ( blessing in disguise).
Wiki moja ana trend Tundu Lissu, nyingine vurugu za kuumizwa mahakamani, inayofuata Msajili kachukua ruzuku, halafu Wanaharakati wakamatwa na sasa kufungiwa shughuli.
Habari hizi zina draw public sympath licha ya ku trend. Hii NoRNoE inashika kasi kwasababu Chadema ina trend. Kwa mfano ni nani anajua Amos Makalla ameongea nini leo! Nani anafuatilia Bajeti ya CCM Bungeni.
True..nadhani Cdm ina trend kwasababu ya kuwa field kwenye mikutano.
Na hawapaswi, lakini kwa kufungiwa kwa mbinu si kwamba wanatoweka kabisa bali wana baki waki trend kwa siku 14 then watarudi wakiwa na public sysmpathy..Cdm wangekuwa majumbani kwao halafu wakanyimwa ruzuku umma usingejali.
Mahakama ni chaka la CCM. Tuseme ukweli, Majaji waliopita waliipa heshima , kwasasa Jaji Mkuu ajiuzulu tu. Mahakama ni sehemu ya Wanachi kupoteza imani. Jaji mkuu hajautendea umma haki...Na kwa maoni yangu, Jaji kawazuia Cdm kufanya shughuli zao kwasababu wananchi wanaounga mkono NRNE wamekuwa wakiongezeka kadiri Cdm inavyofanya mikutano.
Kuna tofauti ya ccm na mahakama?Iliyoamua ni mahakama sio CCM
Mahakama hizi zilizokaa na kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka motatu bila kutoa hukumu? Mkuu unaamini bado watu ni wajinga?Rule of Law ,kama member wa chama amefungua kesi ni lazima CDM ifuate taratibu za kesi na zinavyotaka ,kama wameambiwa walete docs ni lazima kuleta ili mahakama iamue ukileta uharakati kwenye mahakamana lazima utapigwa RUNGU.
Naona bado umenasa kwenye propaganda mfu za udini na ukabila. Toka njenya box, muda umekuacha.Kakojoe ukalale wewe unamjua aliyeleta uhuru nchi hii?
Tafuta kumi Bora waliyoleta uhuru nchi hii alafu niambie wakristo walikuwa wangapi?
Kwa Sasa nyinyi CHADEMA kinachokusumbueni ni udini na ukabila na uchu wa madaraka ndio maana sisi tumekaa tunakuangalieni tu
Uko sahihi, maana chama la wazee na majizi, haliwezi tena kushindana na cdm.Safi sana.tena wamechelewa sana. Ilitakiwa CHADEMA ifutwe kabisa
Kesi ya Zitto kuhusu CAG ilikaa miaka hadi Magufuli alipofariki ndio hukumu ikatokaMahakama hizi zilizokaa na kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka motatu bila kutoa hukumu? Mkuu unaamini bado watu ni wajinga?
KAISEMEE KAULI HII BAFUNI AU CHOONI? 😀😀😀No reforms No election
Tangu lini mahakama za Tanzania zinaitwa court of justice. Mahakama, bunge na serikali (Policeccm, na green guard wote) ni kitu kimoja wanafanya kazi kwa kufuata maagizo ya Samia ili wapandishwe vyeo. HAKUNA MAHAKAMA TANZANIA. Angalia huyo judge, msajili wa vyama wa sasa na wa zamani aliyekufa, wana sifa moja ya uonevu, halafu wote ni wapare (Wathuti) wa ovyo sana.Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa
Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk
Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,
Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,
Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.
View attachment 3363251
Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku
View attachment 3363259
Source: Jambo TV
Wewe ni mjinga kama hao wenzio mnaotumwa na CCM na kupewa buku 7, mmepandishiwa dau sasa? Maana maisha yamepanda sana.KAISEMEE KAULI HII BAFUNI AU CHOONI? 😀😀😀