Vizuri sana, hao nyumbu walifikiri wana serikali yao ndani ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, km wao ni wanaume wapande jukwaani. Chadema ya kina Heche ni mapumbavu hayana ht akili ya kuazima, mtu muda wote ni mapovu mdomoni, angemshukuru Samia maana asingekanyaga hii nchi achilia mbali kufanya siasa. Haya sasa wale members wa huku mtandaoni andamaneni sasa.Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa
Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk
Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,
Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,
Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.
View attachment 3363251
Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku
View attachment 3363259
Source: Jambo TV
Hayo ni kwa mujibu wa Nzee ya Gombe moja ya waasisi wa huu Uhiniii.Mahakama imeonyesha ni kea nmna gani inatumiwa na Serekali na CCM kuihujumu CHADEMA. Hilinni pigo kubwa kwa wapenda mabadiliko. Hii kesi haitaisha mpaka uchaguzi mkuu upite.
Ccm/serekali 5-0 Chadema.
NoReformNoElection
Mlaumu babako kutokwenda shule pengine asingekuwa wa mchongo, wapumbavu km nyie kwl ndio mmeshinde.Watashindana lakini hawatashinda kwamwe,Jaji anatoa uamuzi siku ya kwanza wakati kesi ya Lissu inaahirishwa hovyo,Majaji wa mchongo hawa
We ngedere kaijaribuMnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.
Ajabu na kweli leo ndiyo unaoihujumu Tanganyika!Muungano wa ajabu ajabu, nyerere alituuza pakubwa
We bwege ndio wananchi? Kwisha hbr yenu.Ndo kwanza wananchi tunaona CHADEMA inafanyiwa faulo.
Haisaidii chochote, sisi tunasema No Reforms, No Election.
Ukombozi umekaribia, haya yote hayana budi kutokeaVizuri sana, hao nyumbu walifikiri wana serikali yao ndani ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, km wao ni wanaume wapande jukwaani. Chadema ya kina Heche ni mapumbavu hayana ht akili ya kuazima, mtu muda wote ni mapovu mdomoni, angemshukuru Samia maana asingekanyaga hii nchi achilia mbali kufanya siasa. Haya sasa wale members wa huku mtandaoni andamaneni sasa.
Ngiri tu wewe, hv uvunje sheria uachwe? Hilo dubwasha ni la kufuta kabisa. Ni kikundi cha kigaidi.CCM hamtafika popote, jitekenyeni wenyewe afu mnacheka wenyewe.
Utawala wenu na washirika wenu aka machawa umeshakataliwa na Muumba
Rudi shule,uzuri humu hamna darasa,humu vikao vya wakubwa tuu.Madhara ya kutenda kwa mihemko, badala ya akili.
No reform no electionNgiri tu wewe, hv uvunje sheria uachwe? Hilo dubwasha ni la kufuta kabisa. Ni kikundi cha kigaidi.
Pumzi imewaishia hawana namna lazima plan b itumike, plan a imefeli kitambo baada ya kuona jamaa hata wasanii hawana lkn hilo nyomi lakeHaya mambo hivi ni siasa tu au zaidi ya hapo? Duh! Kumbe niwazavyo sio kabisa. Mwenyezi Mungu atusaidie sana ktk nchi hii. Tutendayo na tuendako ni kubaya sana. Japo sipendi siasa lkn naoa kundi kubwa linaonewa sana na Mungu naamini hapendi hii hali. Tujitafakari sana.