Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kwakweli!Amrudie mume wake Mbowe wajenge familia tuu 😂
Kwakweli!Amrudie mume wake Mbowe wajenge familia tuu 😂
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchijifunze kuheshimu matokeo ya uchaguzi watu 20k mkisema ndio watu mil 1 wakasema hapana we heshimu hao mil 1
Ahahahahaha!!!Mxiewwww
Tutammiss kwel!KWISHNEI MAMAAAEEEE
Achaa ushamba wako akina lema mpka kutangazwa washindi baadhi ya wafuasi wa chadema walibaki vilema kwanza kupigania matokeo yasipindishwekipindi wakina lema wanashinda ubunge hawakuhoji mfumo wa uchaguzi na mchakato wa katiba mpya ulioanzishwa na JK walisema usubiri kwanza, leo mpo nje ya bunge ndo mada kama izi znazuka, au sio? mnaona watz hawana akili eeh
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa
Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk
Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,
Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,
Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.
View attachment 3363251
Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku
View attachment 3363259
Source: Jambo TV
Kwa nini wasiifute kabisa hiyo CHADEMA na kubakiza CCM peke yake?
Adolf Hitler alifuta vyama vyote vya upinzani, CCM mbona mnakuwa waoga?
Hebu futeni vyama vyote vya upinzani mtawale kwa raha.
Unless Hakimu ni kichaa. Ni kama mtu uende mahakamani uombe kufungwa au kunyongwa, Hakimu akisema ndiyo. Ujue hakimu huyo ni mweuMaana yake ni kwamba CHADEMA ni kina nani? Maana kama waleta maombi wanasema wao ni CHADEMA ila wanataka chama chao kizuiwe kufanya siasa, inaeleweka kweli hii?
Ya "UMMA" ni nguma sana kuishinda, lakini ya "uma" hiyo ni nyepesi sana kuishinda! Gwajima , Chadema hao wote wanatumia nguvu ya "uma" ndio maana wote Chali!! Ahahahahaha!!CCM mmedhihirisha kweli kuwa Chadema ni Tishio kwenu. Ila jueni tu, hakuna serikali ilishawahi kushinda nguvu ya Uma
CHAUMA watumie FURSA. Wachukue kwa muda akawasaidie!chaumma milango ipo wazi
Mfano wako nimeulewa Sana!Unless Hakimu ni kichaa. Ni kama mtu uende mahakamani uombe kufungwa au kunyongwa, Hakimu akisema ndiyo. Ujue hakimu huyo ni mwehu.
Mkuu, sasa ikitokea wananchi wa upande mmoja wakawashitaki wananchi wengine wa upande mwingine kwa kupunjwa mgao wa rasilimali zao itakuwaje, dola nalo litazuiwa kufanya shughuli zake mpaka kesi ya msingi iishe?Maana yake ni kwamba CHADEMA ni kina nani? Maana kama waleta maombi wanasema wao ni CHADEMA ila wanataka chama chao kizuiwe kufanya siasa, inaeleweka kweli hii?
Hapo Sasa.Mkuu, sasa ikitokea wananchi wa upande mmoja wakawashitaki wananchi wengine wa upande mwingine kwa kupunjwa mgao wa rasilimali zao itakuwaje, dola nalo litazuiwa kufanya shughuli zake mpaka kesi ya msingi iishe?
Usiiunderestimate serikali ya ccm kwa kiwango hichi. Ile network si ya kuidharau.Serikali imechelewa! Kama ni kuokoa nyumba iliyoshika moto imechelewa!
Yaani unaamini kabisa mpango ni kuiua CHADEMA kupitia CHAUMA ndani ya siku 90? Sidhani, again unarudia kosa lile lile, kuunderestimate mipango inayofanywa na wengine.Agenda ya No Reform No Election imeshika kasi nchi nzima
Uelewa wa Wananchi umeongezeka kuliko ilivyofikiriwa.
Harafu naona mkakati wa kuitumia CHAUMA kuisambarasha CDM umefeli.
Duuu, huu mfano wako huu unaweza ukakamatwa.Mkuu, sasa ikitokea wananchi wa upande mmoja wakawashitaki wananchi wengine wa upande mwingine kwa kupunjwa mgao wa rasilimali zao itakuwaje, dola nalo litazuiwa kufanya shughuli zake mpaka kesi ya msingi iishe?