PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aah ndio mlipanga hizo mbinu🤣
Mambo gani hayo tena jamani kwani zile mbinu 1001 zimefeli
 
MENE MENE TEKERI NA PERESI

utawala uliokosa kibali UTAPATA tabu sana.

CHADEMA ni Imani, huwezi izuia. Utakizuiaje kilicho ndani ya moyo wa mtu? utaweza??????

NO REFORMS, NO ELECTION!
Mene mene tekeli na Peresi kwa Chadema
 
Wasalaam
Huyu ndie mwana ccm alitoa hukumu ya kuzuia mikutano na shughuli zote za kisiasa za chadema.

Tuendapo ni mbali sana hatuwezi kufika kamwe.

FB_IMG_1749561926263.jpg
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Mnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.
Ipi hiyo boss? Unatakiwa kuwalaumu wanachama wenu walifungua kesi Mahakama Kuu pia viongozi wenu.
 
Daaah
Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
 
CCM hamtafika popote, jitekenyeni wenyewe afu mnacheka wenyewe.
Utawala wenu na washirika wenu aka machawa umeshakataliwa na Muumba
Mkuu waliofungua kesi ni wanachama wa Chadema siyo CCM. Tatizo liko CDM baada ya uchaguzi wenu viongozi waliochaguliwa wakajifanya wajuaji ndio outcome yake hii sasa!! 🤣
 
Haya mambo hivi ni siasa tu au zaidi ya hapo? Duh! Kumbe niwazavyo sio kabisa. Mwenyezi Mungu atusaidie sana ktk nchi hii. Tutendayo na tuendako ni kubaya sana. Japo sipendi siasa lkn naoa kundi kubwa linaonewa sana na Mungu naamini hapendi hii hali. Tujitafakari sana.
 
Back
Top Bottom