PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Baada ya kuitumia taasisi inayokula kiapo kwa mwenyekiti wa CCM kusitisha shughuri zote za msumbufu wao Chadema, CCM inapumzika kwa raha zake na mwenza mpya Chaumma. Hongereni maharusi.

Mods, isomeke HONEYMOON.
No reform no election.Hakuna honeymoon wala kula bata.
 
file_00000000a19c61f7a8a31c72919aef6b.png
 
ewaa sasa endelea ivo ivo kucomment mpaka vidole viote sugu sisi kama kawaida oktoba tunatiki na amna mnachoweza kufanya zaidi ya kwenda nairobi kupata matibabu ya bega
No reform no election
 
Baada ya kuitumia taasisi inayokula kiapo kwa mwenyekiti wa CCM kusitisha shughuri zote za msumbufu wao Chadema, CCM inapumzika kwa raha zake na mwenza mpya Chaumma. Hongereni maharusi.

Mods, isomeke HONEYMOON.
unamanisha ile NO PERFORM NO ERECTION ndiyo kwisha kabisa?
 
Sijui siasa za miaka ya 1995-2005 zilikua vipi lakini hizi za mwaka wa uyu..... aisee ni za kikatili sana 😢
 
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa

Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk

Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,

Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,

Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.




View attachment 3363251

Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku

View attachment 3363259

Source: Jambo TV
Hii ndiyo formula ya kuwakamata Lema na Heche pia.
 
KAISEMEE KAULI HII BAFUNI AU CHOONI? 😀😀😀
No reform no election.Mbona mlikuwa mkiisemea chooni kwa hofu huku mkitetemeka.Ila sasa kwa kuwa tawi lingine la shetani limeamua kuwa upande wenu sasa unathubutu kuongea ukiwa nje ya choo.
 
Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
Binafsi sikutegemea hata shekhe Ponda anaweza kutumika na serikali iliyemtesa kisa dini... Am so glad sikufuata uislam wa baba angu
 
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa

Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk

Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,

Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,

Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.




View attachment 3363251

Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku

View attachment 3363259

Source: Jambo TV
Huu ni ipumbavu zaidi ya upumbavu uliofanywa na hakimu wa CCM.
 
Nimewaza sana,
Yule Rais wa chama Cha wanasheria Tanganyika law society akiyajua haya TUMEKWISHA.

Yaani ajue walioifungulia kesi chadema dhidi ya mgawanyo wa RASRIMALI za chama ni Wazanizari,?😝😃😁

Ajue aliyetoa hukumu ni mzanzibari hapo Jana na alikuwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Mwaka 2020, walai boni atatuua WATANGANYIKA atatuona TUNANYEWA😁😂😝

Zaid aje ajue Rais wa Sasa ni mzanzibari, ndie aliyenyuma ya hizi ngiriba dhidi ya Tanganyika walah Boni atatuua,

Sasa hapo umkute katoka kugonga kitu Cha ulanzi, akumbuke Tanganyika Haina Rais wake,Haina katiba, Haina wimbo wa taifa la Tanganyika, Haina bendera yake Boni ulanzi ukimwishia kichwani tumekwisha

Kwako BONIFASI kanjujuwire
 
Wazanzibari wamenunua mashamba makubwa sana dodoma, wamejenga mahotel, wana maduka makubwa dodoma, mpaka mama anaondoka watakuwa wapo juu sana. ukifikiria tajiri namba moja ni mzanzibari
 
Admn edit kichwa Cha habari kisomeke akiyajua haya BONIFASI MWABUKUSI TUMEKWISHA watanganyika
 
Back
Top Bottom