PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Mheshimiwa Mkuu wa Chuo,
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,

Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Uteuzi wako ni ishara ya imani kubwa waliyonayo viongozi na jamii ya kielimu juu ya uongozi wako thabiti, hekima na maono chanya kwa maendeleo ya elimu ya juu nchini. Tunakuombea mafanikio mema katika kutekeleza majukumu yako.

Hata hivyo, sambamba na pongezi hizi, napenda kwa unyenyekevu mkubwa kuwasilisha malalamiko ya wanafunzi wa kitivo cha elimu tunaosoma shahada za uzamili na uzamivu kuhusu changamoto sugu ya ucheleweshaji wa kazi za utafiti unaofanywa na baadhi ya wasimamizi. Wasimamizi hawa wamekuwa wakichelewesha kwa makusudi kabisa kupitia kazi za wanafunzi, kuchelewa kutoa mrejesho au hata kutotoa majibu kwa mawasiliano ya mara kwa mara kutoka kwa wanafunzi.

Tabia hii isiyo ya kitaaluma imekuwa ikiwavunja moyo wanafunzi, kuwachelewesha kuhitimu kwa muda uliopangwa, na hata kuleta msongo wa mawazo miongoni mwao. Kwa mtazamo wetu, ucheleweshaji huu si wa bahati mbaya tena, bali ni wa makusudi, jambo linalodhoofisha lengo la chuo la kuwahudumia wanafunzi kwa njia ya haki na kwa wakati.
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo, kwa kuzingatia dhamira yako ya kuboresha elimu, tunapendekeza hatua zifuatazo:
1. Kuweka miongozo yenye muda maalum wa kupokea, kupitia na kujibu kazi za wanafunzi.
2. Kuwabana wasimamizi kwa kuweka mfumo wa tathmini ya utendaji wao unaoshirikisha mrejesho wa wanafunzi.
3. Kuwepo kwa chombo maalum cha kushughulikia malalamiko ya wanafunzi kwa haraka na kwa siri.
4. Kuchukua hatua za kinidhamu kwa msimamizi yeyote atakayekiuka kwa makusudi majukumu yake.

Tunaamini chini ya uongozi wako mpya, matatizo kama haya yatapatiwa suluhisho la kudumu kwa ajili ya maendeleo ya elimu na ustawi wa wanafunzi wote.
NI SISI WAHANGA WA KITIVO CHA ELIMU CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
 
Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
Ndiyo maana chama chenu cha Chadema hakiwezi shinda sababu ya udini,tunahitaji mabadikiko lakini Chadema No big No.Mtashinda huko Mbeya,Arusha, na wala Nguruwe wenzenu.Shwain wahed
 
Ndiyo maana chama chenu cha Chadema hakiwezi shinda sababu ya udini,tunahitaji mabadikiko lakini Chadema No big No.Mtashinda huko Mbeya,Arusha, na wala Nguruwe wenzenu.Shwain wahed
Wakristo waliopo ccm wamesha gundua huu ukweli ...shika haya maneno yangu baada ya nchi kuingia mikononi mwa wazalendo basi itakuwa vigumu uislamu au mzanzibar kupata uongozi tena wa juu
 
Ni hali ya kawaida kutokea kama utatumia kettle ili kuwaondoa watawala.
Njia kama hizo zilianza miaka ya 80 ambapo katika shule za Sekondari na Vyuo vikuu kulikuwa na movement za migomo na maandamano na katika harakati hizi zilikwenda sambamba na uaharibifu wa mali na hoja nyingi zilikuwa hata hazina mashiko zingeweza kumalizwa mezani lakini kutokana na kizazi kile kufundishwa mambo ya harakati na kudai haki ndipo shida ilipo anzia ilikuwa siyo ajabu wanafunzi kugomea kula maharani wakati nyumbani kwa hicho ndiyo chakula rasmi.

Leo tunaambiwa No reform no Election ni jambo zuri kabisa ni kweli tunahitaji mifumo yote ya uchaguzi iwe huru lakini je, mwisho wake utakuwaje? Naona kabisa kuna kundi la watu takribani milioni tano wanaweza kuunga mkono akini pia wapo watu wengine wengi zaidi ya milioni kumi wanaweza wasikubali na wao wakakubali kupiga kura. Je,ni njia gani ambayo kisheria itafanya no reform no election iwabane watakao kubali kufanya uchaguzi?
Kila upande inao watu wanaowaunga mkono na walio na rungu la dola wana nafasi kubwa ya kushinda je, nini kifanyike wakishinda haki itamalaki na ubadhilifu,Rushwa na ufisadi vipunguzwe? Njia rahisi ni kuingia ndani nyumba then usafi ufanyike ndani kwa ndani lakini hiyo mbinu ni ngumu sana kwani huwezi kupata uungwaji mkono wa asilimia mia moja ile formula ya divide and rule itatutesa kwa muda mrefu ujao. Nchi zote hata zile zilizo bora kwenye mambo ya Haki na Demokrasia bado mambo siyo tambalale angalia leo Mabomu yanapigwa Marekani dhidi ya waandamanaji sembuse sisi? Tutakwisha tusipobadili uelekeo wa kupambana na Haki. Wapo wanawaza kukinukisha lakini hawajui kuna watu wamepata ajira leo wengine wamepandishwa vyeo wengine wamechuma mtaji wa kutosha sasa unapotangaza kukinukisha unaua ndoto za watu wanao ona mwanga wa mafanikio. Mungu atusaidie mabadiliko haya yasimame na haki itendeke tupate viongozi watakao kuwa watetezi wa watu na walinzi wa rasilimali za nchi kwa manufaa ya wananchi wote.
 
Kosa ni kudhan chadema ndio mzizi wa tatizo!
Mungu kashaamua anguko la hili dubwana la tangu 1960's!
 
chadema ni genge la wahuni..mikutano yao ni kwa minajili ya kuchangisha hela tu na sio kufanya siasa
 
Sema majaji wa kizanzibar waifunguw chadema hii nnchi Ina shida somewhere wanannchi wa nnchi nyinngine kututawaa nakutupangia yet tunasabikia......
 
Wakristo waliopo ccm wamesha gundua huu ukweli ...shika haya maneno yangu baada ya nchi kuingia mikononi mwa wazalendo basi itakuwa vigumu uislamu au mzanzibar kupata uongozi tena wa juu
Acha udini wewe pimbi
Unataka kuharibia Cdm na udini wako wewe mjinga kweli
 
Back
Top Bottom