PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimewaza sana,
Yule Rais wa chama Cha wanasheria Tanganyika law society akiyajua haya TUMEKWISHA.

Yaani ajue walioifungulia kesi chadema dhidi ya mgawanyo wa RASRIMALI za chama ni Wazanizari,?😝😃😁

Ajue aliyetoa hukumu ni mzanzibari hapo Jana na alikuwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Mwaka 2020, walai boni atatuua WATANGANYIKA atatuona TUNANYEWA😁😂😝

Zaid aje ajue Rais wa Sasa ni mzanzibari, ndie aliyenyuma ya hizi ngiriba dhidi ya Tanganyika walah Boni atatuua,

Sasa hapo umkute katoka kugonga kitu Cha ulanzi, akumbuke Tanganyika Haina Rais wake,Haina katiba, Haina wimbo wa taifa la Tanganyika, Haina bendera yake Boni ulanzi ukimwishia kichwani tumekwisha

Kwako BONIFASI kanjujuwire
Adumu Boniface Mwabukusi, yeye na fikra zake sahihi
 
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa

Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk

Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,

Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,

Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.

View attachment 3363251

Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku

View attachment 3363259

Source: Jambo TV
ANAANDIKA Askofu Bagonza PhD

DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA

Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa na kufufuka siku ya tatu? Nikajibu ndiyo. Akaongeza, “na mnasema Yesu ni Mungu kweli? Nikasema ndiyo. Akamalizia, “kwa hiyo Mungu wenu alikufa na dunia ikabaki bila Mungu kwa siku mbili?

Hasira zangu zikapanda. Mjadala ukaisha.
Ukweli ni kuwa, Dunia ilikuwepo, Ukristo ulikuwepo na Mungu alikuwepo. Mungu wetu ana nguvu hata kifoni. Natafakari:

1. Sasa tuna wapinzani wasio na chama. Hawa ni fursa au tumekunywa uji wa mgonjwa? Bora ukose nguvu lakini upate akili.

2. Wabunge, madiwani, wenyeviti wa vijiji na mitaa wa chama kilichopelekwa likizo bila malipo, wana uhalali wa kufanya kazi?

3. Polisi, madaktari, madreva, wahudumu wa mortuary na wapishi wa viongozi wenye itikadi ya upinzani moyoni, waende likizo pia? Mnafikiri hawapo? Mnanibishia? Kuna Mserikali mmoja kaniambia mkewe alihama chumba aliposikia kanisa la Ufufuo limefungiwa kufufua! Upinzani tunao mpaka bedroom.

4. Kwa nini tunatazamiana majibu? Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama kilicho likizo, kama angesaini kanuni za uchaguzi, Msajili akaja kumtengua, sahihi yake ingetenguliwa? Kwa nini mahakama inapeleka chama likizo baada ya chama kufungiwa ruzuku? Mnafikiri hayana uhusiano?! Kalaghabao! Huu ni umoja wa mihimili.

5. Ukizaa watoto wanakufa, usiwahi kuwapa majina. Subiri wakuekue. Umezaa wa 1, kapelekwa jela kwa uhaini. Ukazaa wa 2, akafungiwa asishiriki uchaguzi hata kama alikuwa hataki. Ukazaa wa 3 akanyimwa ruzuku ya bill ya maziwa. Ukazaa 4 akazuiwa asicheze na watoto wenzake. Ukazaa wa 5, akazuiwa asitoke chumbani na ndoo ya kujisaidia kapelekewa huko. Huyu hatutamkuta amegeuka paka shume?

6. Mchakato wa kufikia “upinzani usio na chama” umejaa ukweli wenye macho kodo bila kupepesa:

✅Ubaya wa Yanga hauongezi uzuri wa Simba.

-✅Likizo ya Yanga haimwamshi Simba kuingia kazini.

-✅Simba bila Yanga kwenye ligi, hata Chimpumu ya bure inadoda.

✅Simba bila Yanga, marefa, vibendera, waganga wa kienyeji na wanajimu wanakosa soko.

✅Yanga bila Simba, walalahoi wanajitambua na kudai haki zao. Mapenzi yanahamia kwenye siasa.

✅Simba bila Yanga, wanazaliwa Yanga wadogo ndani ya Simba. Kwani Gwaji katoka wapi?

7. Tulikofikia, tujifunze kutunza na kulinda amani bila kutumia silaha. Amani ya silaha na kiota cha machafuko yaliyoahirishwa.

Mnakwepa kurudi mezani? Mtakapokumbuka kurudi mezani, viti vya kukalia vitakuwa havipo. Mtakaa chini.

Wasiojulikana wanajulikana na hawapendi kujulikana. Waliotumwa wanapenda kufuta ushahidi; waliotuma wanapenda kufuta ushahidi. Dhambi isiyotubiwa hudhoofisha afya ya akili.
 
Wazanzibar ni washenzi toka zamani walijificha tu.
 
Hivi wale wataalamu wakutuma nyukii kwenda kumuuma mtu mpo wapi tunaitaji msaada wetu this time nikituma nyuki.tu kwa machawa wote, hakimu kama uyu nimpelekea nyuki tu yani maofisini kwao mpaka majumbani kwao pasikalike nikuumwa na nyuki tushachoka bembelezana bembelezana
Sio nyuki tu , hadi Radi inafaa sana
 
Nahisi kabisa kuna ajenda hapa dhidi yetu watanganyika huu najua tuna wajinga wengi sana ndani ya CCM walio weka uzalendo kwa taifa nyuma na uzalendo kwa njaa na tamaa ya vyeo mbele lakini tutaiacha vipi tanganyika ya vijukuu vyetu mika 50 mbele tusipo wajengea nchi sasa? Tusikubali ukasuku tuumie kwa ajili nchi kwanza.
 
Mahakama iko sahihi

Mali za CHADEMA zinatumika bara tu

Wazanzibari wako sahihi

Wanatumika tu ili CHADEMA kionekane cha kitaifa k8sifutiwe usajili kwa kukosa vigezo

Wazanzibari wamechoka kutumiwa na CHADEMA kama dekio la wao kuhalalisha CHADEMA ionekane na Zanzibar ipo wakati CHADEMA yenyewe haijali Zanzibar kabisa

Rasilimali wazira bara tu
Wazanzibari ni kama wanawake tu, wanatumikiga vibaya sana halafu ni ombaomba; huwezi kuona mchango wao popote, wanafikiriaga kupokea tu. Hata serikali yao inaendeshwa kwa sehemu kubwa na pesa za walipa kodi wa bara; siku muungano ukivunjika, sijui wataishije hawa watu
 
CCM huko wamejaa watu wabinfsi watupu. Wanawaza madaraka na mali na sio nchi.
 
Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
Acha uwongo na chuki
 
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa

Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk

Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,

Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,

Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.

View attachment 3363251

Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku

View attachment 3363259

Source: Jambo TV
Sio kweli kwanza sio hakimu ni jaji.
Na sio mzanzibar ni mtu kutoka bara
 
Kitaalam inaitwa " comic relief' kwenye movie inatumika sana,unakuta mapigano makali sana baina ya staring na majambaka gafla inatokea story nyingine au staring anaumia, hapa naona staring kaumia kwahiyo anaenda kujiuguza
 
ANAANDIKA Askofu Bagonza PhD

DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA

Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa na kufufuka siku ya tatu? Nikajibu ndiyo. Akaongeza, “na mnasema Yesu ni Mungu kweli? Nikasema ndiyo. Akamalizia, “kwa hiyo Mungu wenu alikufa na dunia ikabaki bila Mungu kwa siku mbili?

Hasira zangu zikapanda. Mjadala ukaisha.
Ukweli ni kuwa, Dunia ilikuwepo, Ukristo ulikuwepo na Mungu alikuwepo. Mungu wetu ana nguvu hata kifoni. Natafakari:

1. Sasa tuna wapinzani wasio na chama. Hawa ni fursa au tumekunywa uji wa mgonjwa? Bora ukose nguvu lakini upate akili.

2. Wabunge, madiwani, wenyeviti wa vijiji na mitaa wa chama kilichopelekwa likizo bila malipo, wana uhalali wa kufanya kazi?

3. Polisi, madaktari, madreva, wahudumu wa mortuary na wapishi wa viongozi wenye itikadi ya upinzani moyoni, waende likizo pia? Mnafikiri hawapo? Mnanibishia? Kuna Mserikali mmoja kaniambia mkewe alihama chumba aliposikia kanisa la Ufufuo limefungiwa kufufua! Upinzani tunao mpaka bedroom.

4. Kwa nini tunatazamiana majibu? Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama kilicho likizo, kama angesaini kanuni za uchaguzi, Msajili akaja kumtengua, sahihi yake ingetenguliwa? Kwa nini mahakama inapeleka chama likizo baada ya chama kufungiwa ruzuku? Mnafikiri hayana uhusiano?! Kalaghabao! Huu ni umoja wa mihimili.

5. Ukizaa watoto wanakufa, usiwahi kuwapa majina. Subiri wakuekue. Umezaa wa 1, kapelekwa jela kwa uhaini. Ukazaa wa 2, akafungiwa asishiriki uchaguzi hata kama alikuwa hataki. Ukazaa wa 3 akanyimwa ruzuku ya bill ya maziwa. Ukazaa 4 akazuiwa asicheze na watoto wenzake. Ukazaa wa 5, akazuiwa asitoke chumbani na ndoo ya kujisaidia kapelekewa huko. Huyu hatutamkuta amegeuka paka shume?

6. Mchakato wa kufikia “upinzani usio na chama” umejaa ukweli wenye macho kodo bila kupepesa:

✅Ubaya wa Yanga hauongezi uzuri wa Simba.

-✅Likizo ya Yanga haimwamshi Simba kuingia kazini.

-✅Simba bila Yanga kwenye ligi, hata Chimpumu ya bure inadoda.

✅Simba bila Yanga, marefa, vibendera, waganga wa kienyeji na wanajimu wanakosa soko.

✅Yanga bila Simba, walalahoi wanajitambua na kudai haki zao. Mapenzi yanahamia kwenye siasa.

✅Simba bila Yanga, wanazaliwa Yanga wadogo ndani ya Simba. Kwani Gwaji katoka wapi?

7. Tulikofikia, tujifunze kutunza na kulinda amani bila kutumia silaha. Amani ya silaha na kiota cha machafuko yaliyoahirishwa.

Mnakwepa kurudi mezani? Mtakapokumbuka kurudi mezani, viti vya kukalia vitakuwa havipo. Mtakaa chini.

Wasiojulikana wanajulikana na hawapendi kujulikana. Waliotumwa wanapenda kufuta ushahidi; waliotuma wanapenda kufuta ushahidi. Dhambi isiyotubiwa hudhoofisha afya ya akili.
Kusitisha je nawale COVID-19 wao wataendelea na kazi?
 
Back
Top Bottom