Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

Kuna utafiti naufanya hasa kwenye nyuzi ambazo Shadeeya anashiriki. Nadhani jumapili itakuwa ndio siku ya kupata jibu langu juu ya utafiti wangu.
Hahahaaa. Lol.

Haya Kila la kheri Mkuu katika huo utafiti.
 
Simba asiingie uwanjani na matokeo mfukoni, tutaumbuka, akapambane haswa hii mechi ni ngumu mno.
 
Hahahaaa. Ntacheka sana hiyo siku.

Tusubiri tuone.
Nakushauri siku hiyo ulale tu ili kuepuka tatizo la kukosa usingizi, litakalo sababishwa na Mnyama mkali Simba atakapotinga robo fainali.

SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA CAFCC 2021/2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…