Hili nalo ni tatizo la mindset. Anzia hapohapo; ndiyo kanuni moja wapo ya kufanikiwa.Tupe mwanga mkuu tuanzie wapi na sisi wenye mishahara midogo
Huyu jamaa hapo alipo mwenyewe anajishtukia kuacha kazi, halafu anajifanya motivation speaker kwa wengine.Huu uzi ilitakiwa uulete ukiwa umeshaacha hiyo ajira na siyo kusema utaacha mwakani
Hivi mkuu hii likizo ya muda mrefu unaweza omba hata miaka 2 au 3Usiache kazi kwa kukurupuka omba kwanza likizo ya muda mrefu isiyo na malipo.
Siku ukiona Mambo yamenyooka acha hayajakaa sawa rudi kazini.
Niushauri tu lakini
Mtu ana acha kazi kama ugomvi vile au kumkomoa mtu 😁Watu wengi walioacha ajira lwa hasira wanatamani kurudi baada ya kugundua wameingia kwenye mapambano wakiwa na nguvu ndogo kiakili na kihisia kukabiliana na kupwa na kujaa kwa vipato ukiwa nje ya ajira.
HakikaHuu uzi ilitakiwa uulete ukiwa umeshaacha hiyo ajira na siyo kusema utaacha mwakani
Kimekukuta nini mkuu tupe hintsMimi ni ajira mpya, nimeajiriwa mwezi Oktoba mwaka huu ila baada ya kuona haya mambo ya huku Halmashauri hayaeleweki nimeamua rasmi Januari naacha kazi.
Kwa akili hizi huwez kutoka kwenye mshahara wa laki 4Ni kosa kubwa sana kuacha kazi kwenda kuanzisha biashara
Naenda kuendeleza biashara mkuu, pesa inapanua tu biashara zilizopo sio kama mtaji ule unaoanzia biashara,
Mshahara ni 765k, wanakata mpaka inabaki 540k. Hiyo hela ukitoa gharama za maisha unabaki na laki mbili au tatu. Sasa kwa hiyo saving ya laki mbili tatu utafanya maendeleo gani?Kimekukuta nini mkuu tupe hints
And the time is now.
Sisi watanzania nimekuja kushangaa sana inakuwaje tumejaaliwa rasilimali tunawaachia wahindi, waarabu, wapalestina, wairan, wanapiga mihela halafu sisi tunauza mpaka mashamba ili upate ajira, kuanza maisha kwenye ajira sio tatizo ila shida ni kulala usingizi wa pono kuridhika mazima na matone ya mshahara mpaka uzeeni.
Itoshe kusema ajira imeweza kunipa pesa za kujitegemea, gari, mikopo ya fasta, n.k ila sasa ni muda wangu ku venture other oppurtunities.
Nimeamua niingie kwenye biashara za rasili mali zetu tulizojaalowa kwa upendeleo mkubwa sana hapa Tanzania, mwaka jana pekee niliingiza zaidi ya mara 4 ya mshahara wangu + posho za mwaka mzima net profit faida baada ya kuondoa gharama zote and i am barely 35 and very energetic, why nimalizie prime yangu kwenye kusubiri mshahara na posho ? Hell No !! hapana kwakweli !!, i am set to go, My plan ni kuacha ajira hata sasa ila kwa sababu kadhaa ambazo ni external factors ntaacha mwakani .
Nashukuru kiingereza cha kumingle kwenye soko kinapanda, nimepata exposure kwenda nje ya nchi kitu kilichofanya nijue kwamba watanzania tunachezea fursa za rasili mali zetu, nina idle connections sababu ya uoga wangu but ni muda wa kuzifanya ziwe active.
MUHIMU: Kazi naacha kwenda kuendeleza na kuzipa muda na umakini biashara ambazo tayari nina uzoefu nazo, siachi kazi kwenda kuanza biashara from scratch.
[emoji817]Watu wengi walioacha ajira lwa hasira wanatamani kurudi baada ya kugundua wameingia kwenye mapambano wakiwa na nguvu ndogo kiakili na kihisia kukabiliana na kupwa na kujaa kwa vipato ukiwa nje ya ajira.