Rasmi najiingiza kwenye mziki kama msanii wa bongo fleva. Save the date, 7 October

Rasmi najiingiza kwenye mziki kama msanii wa bongo fleva. Save the date, 7 October

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.

Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi naingia kwenye dunia nyingine.

Nawaahidi mashabiki zangu TATOA hit juu ya hit, sihitaji ushauri gari Isha Waka tayari no way out, siwezi omba watu pesa na kipaji ninacho, watu wa media mbalimbali, online media na platform nyinginezo, tushikane basi mbele ya safari mambo ya kika sawa tutamalizana.

NAOMBA neno lolote ushauri na mengineyo wakuu, najua Kuna watu watakuja kuni tusi, as if nimekosa, karibuni nyote

Screenshot_20260730-214300.jpg
 
Nyimbo Kali ndio inatakiwa ikutambulishe watu waulizie nani kaiimba, sio wewe ujitambulishe sana bila chochote
Ustaarabu wa wapi huo? Yani ufike uingie kwenye NYUMBA ya mtu bila kujitambulisha watu wajue umetoka wapi, unaenda wapi una taka Nini? Bro huo ustaarabu ni WA porini, watu pori🙏🙏🙏🙏🙏 sorry kama nimekubugudhi mkuu, save the date 7 OCTOBER
 
Back
Top Bottom