Rasmi najiingiza kwenye mziki kama msanii wa bongo fleva. Save the date, 7 October

Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.

Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi naingia kwenye dunia nyingine.

Nawaahidi mashabiki zangu TATOA hit juu ya hit, sihitaji ushauri gari Isha Waka tayari no way out, siwezi omba watu pesa na kipaji ninacho, watu wa media mbalimbali, online media na platform nyinginezo, tushikane basi mbele ya safari mambo ya kika sawa tutamalizana.

NAOMBA neno lolote ushauri na mengineyo wakuu, najua Kuna watu watakuja kuni tusi, as if nimekosa, karibuni nyote

View attachment 3650556
Sawa mkuu ingia sokoni
 
endelea kujiamulia mambo kwa moyo mkunjufu na unyenyekevu mkubwa
Ukienda sehemu za starehe, wasipo piga Ngoma zangu hakuna kununua kinywaji, Hadi wapige Ngoma yangu, usijali Sito kuangusha kabisa tahakikisha ni hit juu ya hit
 
Sasa si bora ungekua umesubiri mpaka hiyo october ifike ndio ukaanzisha huu uzi? Coz maswali yote hujibu,mara save the date!
Kuwaaaanda watu ni busara sana mkuu, mambo ni mengi lazima nikuandae mapema kaka, nilicho Fanya nimewaandaa, nikama AFCON inachezwa mwakani lakini mpaka sasa una taarifa mkuu
 
Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.

Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi naingia kwenye dunia nyingine.

Nawaahidi mashabiki zangu TATOA hit juu ya hit, sihitaji ushauri gari Isha Waka tayari no way out, siwezi omba watu pesa na kipaji ninacho, watu wa media mbalimbali, online media na platform nyinginezo, tushikane basi mbele ya safari mambo ya kika sawa tutamalizana.

NAOMBA neno lolote ushauri na mengineyo wakuu, najua Kuna watu watakuja kuni tusi, as if nimekosa, karibuni nyote

View attachment 3650556
Tumekusikia Civilian Coin.
 
Back
Top Bottom