Rasmi najiingiza kwenye mziki kama msanii wa bongo fleva. Save the date, 7 October

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.

Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi naingia kwenye dunia nyingine.

Nawaahidi mashabiki zangu TATOA hit juu ya hit, sihitaji ushauri gari Isha Waka tayari no way out, siwezi omba watu pesa na kipaji ninacho, watu wa media mbalimbali, online media na platform nyinginezo, tushikane basi mbele ya safari mambo ya kika sawa tutamalizana.

NAOMBA neno lolote ushauri na mengineyo wakuu, najua Kuna watu watakuja kuni tusi, as if nimekosa, karibuni nyote

 
Naona unataka kuongeza idadi ya wasanii wanaolalamika wasafi na clouds hawachezi ngoma zangu.
Hivi bado Kuna mtu anategemea media? Dunia hii, dah Sitegemei media yoyote mkuu, nimejipanga nawanangu wa FACEBOOK, insta, TikTok, nk, save the date mkuuπŸ™πŸ™πŸ™
 
Nyimbo Kali ndio inatakiwa ikutambulishe watu waulizie nani kaiimba, sio wewe ujitambulishe sana bila chochote
Ustaarabu wa wapi huo? Yani ufike uingie kwenye NYUMBA ya mtu bila kujitambulisha watu wajue umetoka wapi, unaenda wapi una taka Nini? Bro huo ustaarabu ni WA porini, watu poriπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ sorry kama nimekubugudhi mkuu, save the date 7 OCTOBER
 
date ya kujiamulia mambo
Pigia mstari kakaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ hit juu ya hit, jiwe juu ya jiwe, nauwasha moto alafu siuzimi nauchocheaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’― 7 october
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…