Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #21
Takutaftia kitengo kwenye timu yangu kama una kifua sema mkuu, Sina bodyguard nahofia usalama wangu, 🤣🤣🤣 mkuu nakutania, anyway 7 OCTOBERWeka humu 🗑️
Sawa mkuu ingia sokoniNimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.
Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi naingia kwenye dunia nyingine.
Nawaahidi mashabiki zangu TATOA hit juu ya hit, sihitaji ushauri gari Isha Waka tayari no way out, siwezi omba watu pesa na kipaji ninacho, watu wa media mbalimbali, online media na platform nyinginezo, tushikane basi mbele ya safari mambo ya kika sawa tutamalizana.
NAOMBA neno lolote ushauri na mengineyo wakuu, najua Kuna watu watakuja kuni tusi, as if nimekosa, karibuni nyote
View attachment 3650556
7 octoberHamna msanii hapa
endelea kujiamulia mambo kwa moyo mkunjufu na unyenyekevu mkubwaPigia mstari kaka🙏🙏🙏🙏 hit juu ya hit, jiwe juu ya jiwe, nauwasha moto alafu siuzimi nauchochea🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💯 7 october
Mkuu nimefanya sana biashara za kuuza na kununua bidhaa, nilipo angalia mbali nikaona milioni 50 nitakua nazisiikia Kwa bilionea wa katoro tu nikaona gemu kama limepoa hivi, sio KESI acha niwape ngoma 7 octoberSawa mkuu ingia sokoni
Ukienda sehemu za starehe, wasipo piga Ngoma zangu hakuna kununua kinywaji, Hadi wapige Ngoma yangu, usijali Sito kuangusha kabisa tahakikisha ni hit juu ya hitendelea kujiamulia mambo kwa moyo mkunjufu na unyenyekevu mkubwa
Asante sana ndugu yangu jibu lako lipo 7 OCTOBERUtatumia jina gani la kisanii ili tujue kua ndio wewe huyo?
Vyote mkuu, siujaribu mziki nafanya mziki, 7 OCTOBERUtakuja na miondoko ya aina gani rhumba, RNb, Bongo flavour, singeli, au piano
Sasa si bora ungekua umesubiri mpaka hiyo october ifike ndio ukaanzisha huu uzi? Coz maswali yote hujibu,mara save the date!Asante sana ndugu yangu jibu lako lipo 7 OCTOBER
7 OCTOBERkula chuma icho
Sikiliza hiyo alafu unipe kazi ya kuandika nyimbo kali7 OCTOBER
Kuwaaaanda watu ni busara sana mkuu, mambo ni mengi lazima nikuandae mapema kaka, nilicho Fanya nimewaandaa, nikama AFCON inachezwa mwakani lakini mpaka sasa una taarifa mkuuSasa si bora ungekua umesubiri mpaka hiyo october ifike ndio ukaanzisha huu uzi? Coz maswali yote hujibu,mara save the date!
Usiwaze mkuu, umetisha sana muda ukiwadia kila kitu kitakua poaaaaaSikiliza hiyo alafu unipe kazi ya kuandika nyimbo kali
Tumekusikia Civilian Coin.Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.
Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi naingia kwenye dunia nyingine.
Nawaahidi mashabiki zangu TATOA hit juu ya hit, sihitaji ushauri gari Isha Waka tayari no way out, siwezi omba watu pesa na kipaji ninacho, watu wa media mbalimbali, online media na platform nyinginezo, tushikane basi mbele ya safari mambo ya kika sawa tutamalizana.
NAOMBA neno lolote ushauri na mengineyo wakuu, najua Kuna watu watakuja kuni tusi, as if nimekosa, karibuni nyote
View attachment 3650556
Kifua kipo, mm sijafaTakutaftia kitengo kwenye timu yangu kama una kifua sema mkuu, Sina bodyguard nahofia usalama wangu, 🤣🤣🤣 mkuu nakutania, anyway 7 OCTOBER
7 OCTOBERTumekusikia Civilian Coin.
Sawa kaka, 7 OCTOBERKifua kipo, mm sijafa