Rasmi najiingiza kwenye mziki kama msanii wa bongo fleva. Save the date, 7 October

Mwl.RCT na wewe umo?
Ai
- Nimeipa mashairi (Prompt) na kuchagua sauti:
NIKABORESHA MASHAIRI NA KUTOA HII
===
NICHUKUE NAFASI HII KUWEKA TANGAZO
  • Iwapo una idea ya kumiliki wimbo - wasiliana nami kwa quotation.
  • Ambapo: Phase1
1. Nitaandaa mashairi
2. Nitaandaa Auido sample
3. Ukithibitisha audio imepita -

Phase2: Nitaandaa story board na kutengeneza video
- Video itatoka kwenye version mbili
9x16
na
16x9
- Ambapo utaweza kushare Youtube na platform zingne kama: Instagram
Utapewa wimbo kwenye version mbili:
- Kazi inakamilika ndani ya siku 3-5. ( japo naweza kukamilisha ndani ya saa 24, ila kwakuwa nazingatia uboar na viwango basi minimum ni siku 3)

Karibuni PM
 
Kwamba unaingia kwenye muziki,
sababu unasumbuka kwa dhiki?
Kama ndiyo, basi nunua pikipiki,
Uwe bodaboda hapo Kijijini kimbiki.
 
Asante bro tuombeane afya na uzima kaka, napenda KUSHIRIKIANA na watu kaka
 
Nakushauri imba kuhusu mapenzi,
Au imba kuhusu masuala ya malezi,
Halafu usipendelee kukaa hapo mbezi,
Maana utazidi kuonekana mandazi.
Sawa mrembo, natumaini ujambo,
Muhuni Niko gado, bila ya promo,
Unakaza kurap, mziki huuwezi no,
Pliz Rudi home, ukaoshe vyombo
 
Sawa mrembo, natumaini ujambo,
Muhuni Niko gado, bila ya promo,
Unakaza kurap, mziki huuwezi no,
Pliz Rudi home, ukaoshe vyombo
Kwanza bibie nakusalimu, hujambo!
Pila, mbona una maneno ya shombo?
Ni kwamba uliteswa na baba wa kambo?
Au umemisi mkong'oto a.k.a mtombo?

Matani! 😁
 
Kwanza bibie nakusalimu, hujambo!
Pila, mbona una maneno ya shombo?
Ni kwamba uliteswa na baba wa kambo?
Au umemisi mkong'oto a.k.a mtombo?

Matani! 😁
Tuliza mshono, we bi kiroboto
Jitazamee kwenye KIOO, ka unameti
Jiulize unatako, mana unataka moto
Oga tupia kimini, nikukute geto
 
Mwanzo mwa wimbo anza kwa kusema yoooh yooh yoooh
Im here from jf ma niggaπŸ˜€πŸ˜€
Hahahah 🀣 kaka usiwaze, ila jf ni taasisi kulitumia jina lake bila utaratibu ni masala, msaada nao uhitaji humu ni showz tu matukio ya serikali niitwe mkuu itapendeza sana. Mfano kizimkazi festival, mwenge, marathon nk
 
Tuliza mshono, we bi kiroboto
Jitazamee kwenye KIOO, ka unameti
Jiulize unatako, mana unataka moto
Oga tupia kimini, nikukute geto
Kuwa demu wangu lazima uwe na makebo,
Yaani yawe makubwa yafike kila tano na robo,
Ili nikikushika nikitafutie sana kile kitobo,
Nakufukuza ukiwa na tako kama la Joseph Yobo.
 
Kuwa demu wangu lazima uwe na makebo,
Yaani yawe makubwa yafike kila tano na robo,
Ili nikikushika nikitafutie sana kile kitobo,
Nakufukuza ukiwa na tako kama la Joseph Yobo.
Imetosha mkuu mana unanipigisha show bila malipo, mi ni msanii kaka.

ShukranπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…