Rasmi nawaondoa simba kwenye mbio za ubingwa 2021-2022

Kwa soka lipi ulilowahi kucheza au ukocha uliowahi kuufanya!? 😳😳😳

 
Mtoa mada subiri ligi ianze acha kutoa hitimisho bado mapema mno.
 
Cheka hawa Makolo wanalialia wasenge ninyi,, kwa chama ni mamaenu ako akiwapak@ta..?
Hamna timu nyie
 
Usioneshe ujinga wako hadharani kama huwezi kuuficha.
Mpira wa simba bado ni mzuri makosa madogo yanarekebishika simba ina striker wengi kama boko ajibu mgalu kagere wote wana uwezo na wanabadilika.

Miki na chama tushaanza kuwasahau kwani hakunq mchezaji wa kudumu simba hata awe mzuri vipi ataondoka kwa kuuzwa ama atakufa na yote ni ya kawaida.

Unanunua ili uuze ni biashara na hata ulaya klabu kubwa huuza na kununua imagine baca wamemuuza Messi roho ya timu Ronaldo Madrid wameuza na pesa wanayo leo miki na chama kuuzwa iwe tabu.
Subiri uone timu itafika wapi kwa msimu huu uje kulaumu baada ya msimu kuisha.
 
Acha uongo basi mkuu
 
Watu Wana hasira kwelikweli,kipi Cha ajabu Simba kufungwa na Yanga? Mbona hata kipindi wapi chama na miq tulikuwa tunafungwa tu
Ukweli mchungu yanga wamesajili watu wa kazi kwelikweli
 
Simba dirisha dogo wasajlli streka wa maana na kiungo mpishi wa magoli,
Akina Banda,sakho,kanoute wanatakiwa kuingia kwenye timu taratibu sio kuwapa presha mapema hii
 
Wazee wa ndumba mnahangaika. Sisi ndumba tushaacha tunacheza kiprofeshenali nyie si ndo mmeweka rekodi ya kufunga bao dkk hyo hyo kwa mechi zote mbili na timu ileile? Tulieni jiandaeni kisaikolojia.
 
Ubovu wa simba hautegemei na jinsi yanga anavyoifunga simba.

Huyo chama na miqusone hawakuwepo mwaka jana yanga walivyotufunga goli moja?

Baadaye ikawaje, kombe lilienda jangwani?

Ukisema simba haichukui ubingwa tafsiri yake ni kwamba hakuna kombe msimu huu linalowekwa, sio simba hachukui kisa kuna timu nyingine yenye uwezo kuizidi simba itachukua.

Kama kombe limewekwa ili lishindaniwe basi mshindi ni simba hao wengine ni washindani tu.
 
Tatizo la yanga la kutokupata magoli limehamia Simba rasmi
Jeuri ya moo kumuondoa Chama itawatokea puani Wana msimbazi msimu huu
Hivi ulitaka kumuona chama akiendelea kua simba kwa muda wa miaka mingapi?

Wachezaji wakionesha viwango vizuri wanagombewa na timu kubwa tena kwa offer nzuri na mshahara mnono.

Kuna watu humu walikua wanalalamika kua mo hataki kuuza wachezaji anawafanyia fitna kwa kuwabania rizki wasiende timu kubwa. Leo kauza wachezaji bado mapaka shume yana koroma tu

Lipuli imeuza wachezaji wangapi muhimu? Kwa hiyo kama hawajauza tutegemee wawe mabingwa? Sheeenzi
 
Hawa mambwinga wengi wamukua driven by emotions, mpira umekosa adabu kila mtu ambaye kaangalia mpira wa jana kajikuta kafikia vigezo vya kumkosoa Mo.

Kuna wale mapimbi ambao wameenda mbali kabisa wameanza kumkosoa hadi kocha

Huyo miquson mechi nyingi tena za ndani hapa zilikua zinamkataa kama ilivyokua kwa bocco hapo juzi. Lakini hayo yote yamesahaulika kirahisi kwasababu ya kufungwa na yanga
 
Ww unaamin mugalu na boko watabadilika ,ni ngum iyo kwa sababu wale sio kwamba hawafungi au hawachezi vzur ila kiasili sio wafungaji wazur asa asa ktk mechi kubwa ukifuatilia mechi nyng za simba mugalu au boko kuna mechi wanakosa magol zaid ya matano tena nafas za waz alaf wanafunga magol mawil au moja zikija mechi kubwa upat nafas zaid ya tano ili ufunge utapata tatu au 2 usipotumia ndio umetoka simba kwa sasa wanaweza kusema bado wachezaji hawajajuana ila sio boko kagere au mugulu wale vzur mmoja angempsha mwingne ambae ni top score kiasili
 
Uzuri wa yanga mnakuaga na mbio za sakafuni. Sahiz ligi haijaanza mdomo mwingi subiri ligi ianze malalamiko yenu yataanza kama kawa.
Na kwa taarifa yenu mechi yenu na kagera hamtoboi.
Just mark my words.
 
Unatumiaga bia gani mkuu?
 
Kwa Aucho tulizidiwa dau na Yanga.
Haya ni matokeo ya kumpa timu tajiri uchwara!
 
yaani mtu atakiwe na Al ahly we umzuie asiende hio akili gani ukizingatia dau pia ni zuri? na mtakoma hamtotufunga kamwe tukipaki basi letu maana mtu wa kuforce kufungua hayupo tena
 
ikiwa watu wanamkosoa muumba ye mo ni nani hata asikosolewe? kukosoa ukikutizama -vely lazima uwe na mtizamo kama wako bt ukiutizama +vely lazima kuna kitu utagain.
 
Huo mpira ulikojifunzia kwa kweli hapana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…