BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kwa soka lipi ulilowahi kucheza au ukocha uliowahi kuufanya!? 😳😳😳
wakuu salaam,
Chama na Miqueson walichangia magoli 40+ ambayo ni zaidi ya nusu ya magoal yote tulopata msimu uliopita, leo hawapo na sajili tulizofanya hazioneshi dalili ya kutengeneza walau nusu ya magoal hayo.
kinachonisikitisha ni kuona vile Chama aliondoka kizembe ajili ya upumbavu wa Mo, wanasimba tujiandae kisaikolojia kupitia wakati mgumu maana furaha tuloizoea mo kaiharibu kwa ujeuri wa pesa.
Mpaka hapa msimu huu nawaona yanga na azamu wakichuana vikali kulitwaa taji la ligi huku sisi tukianza kujenga upya team.