Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
If it's beyond your understanding, How did you know God exists?That's beyond my understanding siwezi kujibu
There is no physical proof that show God exists but he ExistsIf it's beyond your understanding, How did you know God exists?
If you were able to know God exists, Why can't you answer all of his questions about him?
Sihitaji huyo Mungu anisamehe.Mungu akusamehe...
Soul doesn't exist.I don't blame you but I blame the soul in you speaking
I can't answer your questions because they are beyond my understandingIf it's beyond your understanding, How did you know God exists?
If you were able to know God exists, Why can't you answer all of his questions about him?
If there's no physical proof that shows God exists, Then it means God is an illusion and he exists only in your imaginations.There is no physical proof that show God exists but he Exists
Atajitokeza vipi kati unamkana humu jf and you neither need himSihitaji huyo Mungu anisamehe.
Huyo Mungu kama yupo, Nahitaji ajitokeze aje atoe ufafanuzi wa haya maswali ambayo wewe umeshindwa kuyajibu.
He's not a fictional character sababu ata.mimi Leo kuwa hai ni uwezo wakeAkishindwa kufanya hivyo ni kwamba hayupo.
Ni wewe tu unahangaika kuelezea fictional character.
Soul doesn't exist.
That's because God is just a fictional character.I can't answer your questions because they are beyond my understanding
He exist sababu Mungu ni roho atalipokuja duniani ilibidi aje kama Yesu ambae ni mwanadamu.If there's no physical proof that shows God exists, Then it means God is an illusion and he exists only in your imaginations.
So what do you believe in?That's because God is just a fictional character.
Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.
That's why you can't prove the existence of that God as he himself.
I can prove cause ever since I turned to him I'm living my best life i was once like you then Boom!! A miracle happenedThat's because God is just a fictional character.
Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.
That's why you can't prove the existence of that God as he himself.
Ngoja ukose chakula mwaka mzima ndo utajua ukuu wa Mungu ,maana shibe inasababisha watu wanakufuru,majini na wachawi wanasumbua watu Nani aliwaumba!? Kama majini, wachawi wapo Mungu atakosaje kuwepo,,Maana Mungu ni nguvu isiyoonekana kwa macho ambayo inaiendesha dunia na sayari zinginezo,,mtu ni roho na Mungu pia ni roho,,mtu anaweza teseka kwa sababu mbalimbali,mizimu au laana,,unasema njaa mtu unalazimisha kuishi jangwani hapo unategemea Nini,,Kama unapo ishi nijangwani so utafute sehemu nyingine!? Mungu anahusika Nini hapo!? ...we mwenyewe unajua asili yako !? Unajua kabila lako lilihama kutoka Ethiopia na kuja TANZANIA!? Sehemu iliyokuwa Poli na mbuga!?Huyo God ambaye unasema is good, ndio anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto wadogo na wanawake wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani.
Halafu unakuja hapa kumsifia na kumpa sifa uchwara huyo God mdhaifu ambaye hawezi hata kuwasaidia watu kama hawa👇👇
View attachment 3205295
Huyo Mungu kama yupo ni muovu sana na anastahili kufurushwa huko alipo. Hana wema wowote ule.
Kuhusisha uhai na uwepo wa Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.Atajitokeza vipi kati unamkana humu jf and you neither need him
He's not a fictional character sababu ata.mimi Leo kuwa hai ni uwezo wake
Ngoja ukose chakula mwaka mzima ndo utajua ukuu wa Mungu ,maana shibe inasababisha watu wanakufuru,majini na wachawi wanasumbua watu Nani aliwaumba!? Kama majini, wachawi wapo Mungu atakosaje kuwepo,,Maana Mungu ni nguvu isiyoonekana kwa macho ambayo inaiendesha dunia na sayari zinginezo,,mtu ni roho na Mungu pia ni roho,,mtu anaweza teseka kwa sababu mbalimbali,mizimu au laana,,unasema njaa mtu unalazimisha kuishi jangwani hapo unategemea Nini,,Kama unapo ishi nijangwani so utafute sehemu nyingine!? Mungu anahusika Nini hapo!? ...we mwenyewe unajua asili yako !? Unajua kabila lako lilihama kutoka Ethiopia na kuja TANZANIA!? Sehemu iliyokuwa Poli na mbuga!? Kwaajiri ya chakula na malisho!?Huyo God ambaye unasema is good, ndio anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto wadogo na wanawake wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani.
Halafu unakuja hapa kumsifia na kumpa sifa uchwara huyo God mdhaifu ambaye hawezi hata kuwasaidia watu kama hawa👇👇
View attachment 3205295
Huyo Mungu kama yupo ni muovu sana na anastahili kufurushwa huko alipo. Hana wema wowote ule.
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.I can prove cause ever since I turned to him I'm living my best life i was once like you then Boom!! A miracle happened
Sasa bila uwepo wa Mungu ungekuwa na uhai?Kuhusisha uhai na uwepo wa Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.
Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.View attachment 3207223
That's why he uses human like us kukwaambia kuwa he exists ....He can't reveal himself but he uses bishops... pastors ili ujue Kuwa yupo sababu yy ni rohoThe fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo.
Sio wewe unahangaika kumwelezea na kumtetea.
Mungu ambaye anatumia njaa na matatizo ili ajulikane yupo na adhihirishe ukuu wake, Ni Mungu mjinga na mpumbavu sana.Ngoja ukose chakula mwaka mzima ndo utajua ukuu wa Mungu ,
Hakuna majini.maana shibe inasababisha watu wanakufuru,majini na wachawi wanasumbua watu Nani aliwaumba!?
Hakuna wachawi, Hakuna majini, Hakuna Mungu.Kama majini, wachawi wapo Mungu atakosaje kuwepo,,
Kama Mungu ni nguvu isiyoonekana, Wewe ulimuona wapi huyo Mungu ukajua yupo?Maana Mungu ni nguvu isiyoonekana kwa macho ambayo inaiendesha dunia na sayari zinginezo,
Mtu sio roho.,mtu ni roho na Mungu pia ni roho
Mizimu Haipo.,,mtu anaweza teseka kwa sababu mbalimbali,mizimu au laana,,
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.unasema njaa mtu unalazimisha kuishi jangwani hapo unategemea Nini,,Kama unapo ishi nijangwani so utafute sehemu nyingine!? Mungu anahusika Nini hapo!? ...we mwenyewe unajua asili yako !? Unajua kabila lako lilihama kutoka Ethiopia na kuja TANZANIA!? Sehemu iliyokuwa Poli na mbuga!?
MwamposooohYaani masikini wamefungwa macho hawaoni Wajanja wanajipigia🤣🤣🤣🤣🤣
Ukisema na kudai kitu kipo, Jukumu la kuthibitisha lipo kwako. Maana madai ni ya kwako. Hivyo uthibitisho unatakiwa utoke kwako pia.Funny thing is:
No one can prove God exists.
And
No one can be prove he doesn't.
My take is : I don't know if he does or doesn't.