Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwa nini huyo Mungu atoe option ya kuchagua mazuri au mabaya ilhali yeye hapendi mabaya?Mbana maswali yako rahisi sana Kwa sisi watu tunayemjua Mungu na kumuamini?
1) Mungu ameumba malaika hawajui kumuasi Mungu Wala kukumkuru Mungu hivyo ndivyo alivyo waumba
Malaika hawana option ya kutenda maovu
2) Akaumba binadamu na majini akawapa option ya kuchagua aidha afanye mabaya au mazuri
Kama huyo Mungu hapendi mabaya, Kwa nini hakuweka option ya kutenda mazuri tu?
Kama huyo Mungu hapendi mabaya, kwa nini aweke option ya kuweza kutenda mabaya?
Kulikuwa na haja gani kuumba maisha ya kupita, ilhali kuna maisha ya milele?Na akateua miongoni mwa binadamu na majini kuwapelekea ujumbe wenzao kuwa mkifanya maovu Kuna moto na mkifanya mazuri Kuna pepo na haya maisha ya Dunia ni ya kupitia tu ila Kuna maisha ya milele Baada ya haya maisha ya Dunia
Kulikuwa na haja gani kuumba viumbe na binadamu vije viteseke kwanza duniani, Halafu eti baadae ndio tuje tupate raha huko mbinguni?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Kama una amini akili yako tu ndio inakuongoza na ndio ina uwezo, Kwa nini unahangaika kusali na kumuomba huyo Mungu?Akili aliyepewa binadamu inauwezo wa kumuongoza akaenda anapotaka kama ni motoni au peponi
Ninyi si ndio mna amini maisha yenu yote ni God's plan?
Kama una amini maisha yako yote ni God's plan, Kwa nini unasema tunaongozwa na akili zetu?
Mimba ikitungwa sio maiti. Acha upotoshaji.Siku ilipotungwa mimba yako ulikuwa maiti alafu ukapewa uhai na kuanza maisha tumboni mwa mama yako na hatimaye hapa Duniani
Inaonekana hata Biology hukusoma.
Hizi ni hadithi na hekaya za vitabuni tu zisizo na uthibitisho wowote ule.Ipo siku utakuwa tena maiti
Na ipo siku utakuwa hai tena na huo ndio utakuwa uhai wa milele
Mwenyezi Mungu ni nani?
Quran 2:255
Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.