Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Mbana maswali yako rahisi sana Kwa sisi watu tunayemjua Mungu na kumuamini?

1) Mungu ameumba malaika hawajui kumuasi Mungu Wala kukumkuru Mungu hivyo ndivyo alivyo waumba
Malaika hawana option ya kutenda maovu

2) Akaumba binadamu na majini akawapa option ya kuchagua aidha afanye mabaya au mazuri
Kwa nini huyo Mungu atoe option ya kuchagua mazuri au mabaya ilhali yeye hapendi mabaya?

Kama huyo Mungu hapendi mabaya, Kwa nini hakuweka option ya kutenda mazuri tu?

Kama huyo Mungu hapendi mabaya, kwa nini aweke option ya kuweza kutenda mabaya?
Na akateua miongoni mwa binadamu na majini kuwapelekea ujumbe wenzao kuwa mkifanya maovu Kuna moto na mkifanya mazuri Kuna pepo na haya maisha ya Dunia ni ya kupitia tu ila Kuna maisha ya milele Baada ya haya maisha ya Dunia
Kulikuwa na haja gani kuumba maisha ya kupita, ilhali kuna maisha ya milele?

Kulikuwa na haja gani kuumba viumbe na binadamu vije viteseke kwanza duniani, Halafu eti baadae ndio tuje tupate raha huko mbinguni?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Akili aliyepewa binadamu inauwezo wa kumuongoza akaenda anapotaka kama ni motoni au peponi
Kama una amini akili yako tu ndio inakuongoza na ndio ina uwezo, Kwa nini unahangaika kusali na kumuomba huyo Mungu?

Ninyi si ndio mna amini maisha yenu yote ni God's plan?

Kama una amini maisha yako yote ni God's plan, Kwa nini unasema tunaongozwa na akili zetu?
Siku ilipotungwa mimba yako ulikuwa maiti alafu ukapewa uhai na kuanza maisha tumboni mwa mama yako na hatimaye hapa Duniani
Mimba ikitungwa sio maiti. Acha upotoshaji.

Inaonekana hata Biology hukusoma.
Ipo siku utakuwa tena maiti

Na ipo siku utakuwa hai tena na huo ndio utakuwa uhai wa milele

Mwenyezi Mungu ni nani?

Quran 2:255
Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
Hizi ni hadithi na hekaya za vitabuni tu zisizo na uthibitisho wowote ule.

Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
 
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.
Kosa lako kubwa ni kuita tunaomwaminu Mungu wajinga. Hujalazumishwa kuamini, hata mimi nikikuita mjinga kwa sababu huamini Mungu ni kosa pia. Wewe ni mwerevu sana ndiyo maana huamini vile wanavyoamini watu wengine.
 
Kuna ongezeko la nyuzi za kukufuru, vijana mkishiba halafu hakuna sehemu ya mwili inauma unajihisi unaweza Kila kitu. Ila ipo ile siku inakuja, unajua kwanini hospitalini wanakuwa na namba za simu za viongozi wa dini?? Tena zinabandikwa kwenye ubao pale kwa nesi wa zamu
Huyo Mungu kwa nini aliumba binadamu wenye uwezo wa kumkufuru?

Je huyo Mungu, Hakujua kwamba hapaswi kukufuriwa aumbe binadamu wema tu watakao mtii siku zote?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kumkufuru?
 
Huyo Mungu, Kwa nini aliumba binadamu wenye uwezo wa kumkana?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio na uwezo wa kumkana?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Wewe unataka kuwa kama ng'ombe tuu. Usiwe na utashi. Ndo maana Mungu akaona tufe tuu siyo kumkana milele.
 
Wewe unataka kuwa kama ng'ombe tuu. Usiwe na utashi. Ndo maana Mungu akaona tufe tuu siyo kumkana milele.
Kwani sisi tukifa huyo Mungu anapata faida gani?

Huyo Mungu akichoma watu motoni anafaidika nini?

Kulikuwa na haja gani kuumba binadamu duniani halafu waje wafe?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
Huyo Mungu kwa nini aliumba binadamu wenye uwezo wa kumkufuru?

Je huyo Mungu, Hakujua kwamba hapaswi kukufuriwa aumbe binadamu wema tu watakao mtii siku zote?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kumkufuru?
Pia wewe unauwezo wa kuwakufuru baba yako na Mama yako waliokuzaa na ukaendelea kuishi. Tàtizo liko wapi Mungu ukiendelea kuishi baada ya kumkufuru Mungu?
 
Pia wewe unauwezo wa kuwakufuru baba yako na Mama yako waliokuzaa na ukaendelea kuishi.
Kukufuru na kuishi ni vitu viwili tofauti.

Hakuna uhusiano wowote wa kukufuru na kuishi.

Hakuna uhusiano wowote wa kukufuru na kufa.
Tàtizo liko wapi Mungu ukiendelea kuishi baada ya kumkufuru Mungu?
Tatizo lipo kwa huyo Mungu ambaye hapendi kukufuriwa, Halafu yeye ndie muumbaji wa binadamu wenye uwezo wa kumkufuru.

Wakati alikuwa na uwezo wa kuumba binadamu wasio na uwezo wa kumkufuru wakamtii siku zote.

Lakini hakufanya hivyo.

Hii inadhihirisha namna gani huyo Mungu hajielewi na alivyo mjinga.

Kaumba binadamu wenye uwezo wa kumkufuru, Halafu anataka eti asikufuriwe!!

Kama huyo Mungu alikuwa hataki akufuriwe, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii siku zote na wakati wote?
 
Hili hapa gazeti fupi...!!

View attachment 3205304

The Golden Globes Award was held last week in Los Angeles, USA. During the Award Ceremony, God was mocked.

Shortly after the Awards, fire erased the Holywood City, especially the Pacific Palisades (the homes of the rich and powerful in the entertainment industry).

God cannot be mocked. When you minus the almighty God, you court disaster.

Another Titanic experience.
Ila nyie watu ni wajinga sana. Wild fires zimekuwa zikitokea kila mahali duniani. Nyinyi mnalishwa matango pori mnabugia tu bila ku reason
 
Kukufuru na kuishi ni vitu viwili tofauti.

Hakuna uhusiano wowote wa kukufuru na kuishi.

Hakuna uhusiano wowote wa kukufuru na kufa.

Tatizo lipo kwa huyo Mungu ambaye hapendi kukufuriwa, Halafu yeye ndie muumbaji wa binadamu wenye uwezo wa kumkufuru.

Wakati alikuwa na uwezo wa kuumba binadamu wasio na uwezo wa kumkufuru wakamtii siku zote.

Lakini hakufanya hivyo.

Hii inadhihirisha namna gani huyo Mungu hajielewi na alivyo mjinga.

Kaumba binadamu wenye uwezo wa kumkufuru, Halafu anataka eti asikufuriwe!!

Kama huyo Mungu alikuwa hataki akufuriwe, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii siku zote na wakati wote?
Ila umekomaa sana na hiyo imani yako. Basi sàwa endelea kufurahia mixx by yas.
 
Wanasema mshahara wa dhambi ni mauti, ila cha kushangaza hata wenye kutenda mema wanakufa.
Pia kama mshahara wa dhambi ni mauti, Kwa nini shetani muanzilishi wa dhambi yupo hai mpaka leo?

If the wages of sin is death, Why is Satan still alive?

Ukichunguza kwa makini utajua kwamba hizi imani za kidini ni vitisho uchwara tu.
 
Satan existence bring out the freedom of humans choosing good and evil......hayo.ni mambo ya watu wawili wenye roho na SI nyama hatuwezi kuingilia
 
Anajielewa na anasababu zake
Kwa nini unahangaika kumwelezea na kumtetea huyo Mungu badala ya yeye kuja mwenyewe kujitetea na kujidhihirisha?

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee na kujiongelea mwenyewe kama ana huo uwezo.

Sio ninyi mumuhangaikie kumuelezea uwepo wake.

Unless otherwise, Huyo Mungu hajawahi kuwepo hayupo na hatakaa awepo.
 
Mungu akusamehe... I don't blame you but I blame the soul in you speaking
 
Back
Top Bottom