Unanikumbusha mwanzoni mwa mwaka 1890 kuelekea 1900, ndio theory za mawimbi ya radio kusafiri hewani yalitolewa na wajinga walipinga vikali kuwa haiwezekani mawimbi yapite hewani bila nguzo wala waya. Baadae wakapata Aibu baada ya ugunduzi wa Radio kuanza kufanya kazi na hatimaye simu zikagunduliwa.
Turudi kwenye mada; masuala yanayo muhusu Mungu sio mepesi mepesi kama unavyofikiri, na nakushauri uachane nayo!
Post vitu vingine ulivyo na Elimu navyo, kwani haya yanayo muhusu Mungu yanahitaji watu walio soma vizuri,. ACHA KUCHANGIA VITU USIVYO KUWA NA ELIMU NAVYO!!!