Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

If it's beyond your understanding, How did you know God exists?

If you were able to know God exists, Why can't you answer all of his questions about him?
There is no physical proof that show God exists but he Exists
 
Mungu akusamehe...
Sihitaji huyo Mungu anisamehe.

Huyo Mungu kama yupo, Nahitaji ajitokeze aje atoe ufafanuzi wa haya maswali ambayo wewe umeshindwa kuyajibu.

Akishindwa kufanya hivyo ni kwamba hayupo.

Ni wewe tu unahangaika kuelezea fictional character.
I don't blame you but I blame the soul in you speaking
Soul doesn't exist.
 
If it's beyond your understanding, How did you know God exists?

If you were able to know God exists, Why can't you answer all of his questions about him?
I can't answer your questions because they are beyond my understanding
 
Sihitaji huyo Mungu anisamehe.

Huyo Mungu kama yupo, Nahitaji ajitokeze aje atoe ufafanuzi wa haya maswali ambayo wewe umeshindwa kuyajibu.
Atajitokeza vipi kati unamkana humu jf and you neither need him
Akishindwa kufanya hivyo ni kwamba hayupo.

Ni wewe tu unahangaika kuelezea fictional character.

Soul doesn't exist.
He's not a fictional character sababu ata.mimi Leo kuwa hai ni uwezo wake
 
I can't answer your questions because they are beyond my understanding
That's because God is just a fictional character.

Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.

That's why you can't prove the existence of that God as he himself.
 
If there's no physical proof that shows God exists, Then it means God is an illusion and he exists only in your imaginations.
He exist sababu Mungu ni roho atalipokuja duniani ilibidi aje kama Yesu ambae ni mwanadamu.
Anaweza pia kumtumia binadamu yoyote
Kwani ww roho unaweza kuiona
 
That's because God is just a fictional character.

Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.

That's why you can't prove the existence of that God as he himself.
So what do you believe in?
 
That's because God is just a fictional character.

Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.

That's why you can't prove the existence of that God as he himself.
I can prove cause ever since I turned to him I'm living my best life i was once like you then Boom!! A miracle happened
 
Huyo God ambaye unasema is good, ndio anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto wadogo na wanawake wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani.

Halafu unakuja hapa kumsifia na kumpa sifa uchwara huyo God mdhaifu ambaye hawezi hata kuwasaidia watu kama hawa👇👇
View attachment 3205295
Huyo Mungu kama yupo ni muovu sana na anastahili kufurushwa huko alipo. Hana wema wowote ule.
Ngoja ukose chakula mwaka mzima ndo utajua ukuu wa Mungu ,maana shibe inasababisha watu wanakufuru,majini na wachawi wanasumbua watu Nani aliwaumba!? Kama majini, wachawi wapo Mungu atakosaje kuwepo,,Maana Mungu ni nguvu isiyoonekana kwa macho ambayo inaiendesha dunia na sayari zinginezo,,mtu ni roho na Mungu pia ni roho,,mtu anaweza teseka kwa sababu mbalimbali,mizimu au laana,,unasema njaa mtu unalazimisha kuishi jangwani hapo unategemea Nini,,Kama unapo ishi nijangwani so utafute sehemu nyingine!? Mungu anahusika Nini hapo!? ...we mwenyewe unajua asili yako !? Unajua kabila lako lilihama kutoka Ethiopia na kuja TANZANIA!? Sehemu iliyokuwa Poli na mbuga!?
 
Atajitokeza vipi kati unamkana humu jf and you neither need him

He's not a fictional character sababu ata.mimi Leo kuwa hai ni uwezo wake
Kuhusisha uhai na uwepo wa Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Screenshot_20250120-122044_1.jpg
 
Huyo God ambaye unasema is good, ndio anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto wadogo na wanawake wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani.

Halafu unakuja hapa kumsifia na kumpa sifa uchwara huyo God mdhaifu ambaye hawezi hata kuwasaidia watu kama hawa👇👇
View attachment 3205295
Huyo Mungu kama yupo ni muovu sana na anastahili kufurushwa huko alipo. Hana wema wowote ule.
Ngoja ukose chakula mwaka mzima ndo utajua ukuu wa Mungu ,maana shibe inasababisha watu wanakufuru,majini na wachawi wanasumbua watu Nani aliwaumba!? Kama majini, wachawi wapo Mungu atakosaje kuwepo,,Maana Mungu ni nguvu isiyoonekana kwa macho ambayo inaiendesha dunia na sayari zinginezo,,mtu ni roho na Mungu pia ni roho,,mtu anaweza teseka kwa sababu mbalimbali,mizimu au laana,,unasema njaa mtu unalazimisha kuishi jangwani hapo unategemea Nini,,Kama unapo ishi nijangwani so utafute sehemu nyingine!? Mungu anahusika Nini hapo!? ...we mwenyewe unajua asili yako !? Unajua kabila lako lilihama kutoka Ethiopia na kuja TANZANIA!? Sehemu iliyokuwa Poli na mbuga!? Kwaajiri ya chakula na malisho!?
 
I can prove cause ever since I turned to him I'm living my best life i was once like you then Boom!! A miracle happened
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo.

Sio wewe unahangaika kumwelezea na kumtetea.
 
That's why he uses human like us kukwaambia kuwa he exists ....He can't reveal himself but he uses bishops... pastors ili ujue Kuwa yupo sababu yy ni roho
 
Ngoja ukose chakula mwaka mzima ndo utajua ukuu wa Mungu ,
Mungu ambaye anatumia njaa na matatizo ili ajulikane yupo na adhihirishe ukuu wake, Ni Mungu mjinga na mpumbavu sana.
maana shibe inasababisha watu wanakufuru,majini na wachawi wanasumbua watu Nani aliwaumba!?
Hakuna majini.

Hakuna wachawi.
Kama majini, wachawi wapo Mungu atakosaje kuwepo,,
Hakuna wachawi, Hakuna majini, Hakuna Mungu.
Maana Mungu ni nguvu isiyoonekana kwa macho ambayo inaiendesha dunia na sayari zinginezo,
Kama Mungu ni nguvu isiyoonekana, Wewe ulimuona wapi huyo Mungu ukajua yupo?

Kama Mungu ni nguvu isiyoonekana, Wewe ulijuaje ipo na unathibitishaje ipo?

Au unafosi imani zako tu zisizo na uthibitisho wowote ule?
,mtu ni roho na Mungu pia ni roho
Mtu sio roho.

Mtu ni mwili.

Roho haipo.

Mungu hayupo.
,,mtu anaweza teseka kwa sababu mbalimbali,mizimu au laana,,
Mizimu Haipo.

Laana haipo.

Watu hawateseki kwa sababu ya mizimu au laana.

Watu wanateseka kwa sababu ya Ujinga, ukosefu wa maarifa, umaskini na utawala mbovu.
unasema njaa mtu unalazimisha kuishi jangwani hapo unategemea Nini,,Kama unapo ishi nijangwani so utafute sehemu nyingine!? Mungu anahusika Nini hapo!? ...we mwenyewe unajua asili yako !? Unajua kabila lako lilihama kutoka Ethiopia na kuja TANZANIA!? Sehemu iliyokuwa Poli na mbuga!?
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Ni wewe tu unafosi aonekane yupo.
 
Funny thing is:
No one can prove God exists.
And
No one can be prove he doesn't.

My take is : I don't know if he does or doesn't.
Ukisema na kudai kitu kipo, Jukumu la kuthibitisha lipo kwako. Maana madai ni ya kwako. Hivyo uthibitisho unatakiwa utoke kwako pia.

Ukidai Mungu yupo, thibitisha madai yako, Kwaku prove uwepo wa huyo Mungu.

Ukishindwa ku prove madai yako ya uwepo wa huyo Mungu, Ni kwamba madai yako ni ya uongo.

Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
 
Back
Top Bottom