Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
neg❌Fala ni neg kivumishi punguwani ww na waliokuzaa nakukurithisha upunguwani wa hutotambua hata uhai ulionao ulitoka Wapi
Asante ❤️ 🌹 🥂 🌿neg❌
ww❌
wa hutotambua❌
Kajifunze kwanza kuandika nyang'au zumbukuku wewe.
Rudi chekechea kwanza kajifunze somo la mwandiko.
Idiot nincompoop.
Kabla mtoto hajazaliwa hutangulia kuishi atakaye mzaa...Wakati mtoto anazaliwa ulishamuona huyo "nani" akitoa hivi vitu?
Like I said, nimeikuta pahala na Mshana Jr kaianzishia uzi..!Like for real 🤔
Kama hukatai mateso, Basi anza kumuomba huyo Mungu akutese akupe magonjwa, ajali, majanga akutese vya kutosha ili wengine wapate kumgeukia.Aliteswa kwa dhambi zangu kwanini nikatae mateso ...
Huyo Mungu anavyotakaga watu waache kutenda maovu na mabaya pia si huwa ana ingilia uhuru wa binadamu?Angewaumba wemA wote angekuwa ameingilia uhuru wa binadamu
😂😂😂I'm tired of this questions aiseeeeKama hukatai mateso, Basi anza kumuomba huyo Mungu akutese akupe magonjwa, ajali, majanga akutese vya kutosha ili wengine wapate kumgeukia.
Kama hukatai mateso, kwa nini kila siku unamuomba huyo Mungu akuepushe na ajali, majanga na magonjwa?
Huyo Mungu anavyotakaga watu waache kutenda maovu na mabaya pia si huwa ana ingilia uhuru wa binadamu?
Kwa nini huko kwenye nyumba zenu za ibada makanisani na misikitini mnahamasishwa kuacha mabaya na maovu?
Je huko pia si kuingilia uhuru wa kibinadamu?
Hata huyo mama wa mtoto hakuibuka.Kabla mtoto hajazaliwa hutangulia kuishi atakaye mzaa...
Unadhani mama wa Mtoto huibuka tu kutoka shimoni?
Mzazi wa kwanza duniani alizaliwa na nani kama hakuumbwa ? Au ndo unaamini kwenye evolution theory?Hata huyo mama wa mtoto hakuibuka.
Alizaliwa na mama yake pia.
Binadamu Hawaumbwi wala kuibuka.
Binadamu Wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.
Una elewa hilo?
Na wewe muulize huyo aliyeandika Quran kwamba huyo Allah alizuka
Quran iliandikwa na WaleviQuran 112:1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
112:2 - Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
112:3 - Hakuzaa wala hakuzaliwa.
112:4 - Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
Haya jibu swali kama hauwezi muulize huyo aliyekuandikia hizo theory akusaidie
Kama Jua lilizuka Kwa Nini hayazuki Majua mengine?
Kwa hiyo Jamii yetu tukikubaliana kwamba kubaka watoto wadogo si kosa tutakuwa sahihi?Kuua au kubaka ni kosa kwa mujibu wa sheria tulizojiwekea binadamu, ni kama kuvuta bangi, inaweza kuwa kosa Tanzania lakini Jamaica si kosa! Njoo na hoja nzito achana na kuokoteza mambo.
Nje ya mada anzisha Uzi wakoQuran iliandikwa na Walevi
Unprovable how?Basi huyo Mungu ni Nothing.
View attachment 3207744
Kubaka watoto wadogo ni kosa au si kosa?Ulichelewa sana kugundua,mimi niligundua miaka 20 iliyopita.
Hata huyo mama wa mama yake na mtoto hakuibuka tu kutoka shimoni aliumbwa na MunguHata huyo mama wa mtoto hakuibuka.
Alizaliwa na mama yake pia.
Sipingi bali najaribu kukuonyesha kwamba dhana nzima ya uwepo wa Mungu mkuu, mkamilifu, muweza wa vyote, mwenye upendo na huruma na mjuzi wa vyote ina mapungufu makubwa na utata mwingi sana.😂😂😂I'm tired of this questions aiseeee
Ivi kwanini unapinga kila hoja
Hakuna Mungu aliyeumba binadamu.Hata huyo mama wa mama yake na mtoto hakuibuka tu kutoka shimoni aliumbwa na Mungu
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu kabla ya kusema ni timeless, spaceless na immaterial.Unprovable how?
Mungu ni Roho ambayo ni Timeless, spaceless, immaterial, personal na intelligent. Is nothing personal and intelligent?