Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Pole kwa kugundua hilo mkuu. Hujachelewa sana.

Mungu wa kwenye Biblia ama Quran hayupo. Zile ni stori tu kama stori nyingine za fisi na sungura.
 
Aliteswa kwa dhambi zangu kwanini nikatae mateso ...
Kama hukatai mateso, Basi anza kumuomba huyo Mungu akutese akupe magonjwa, ajali, majanga akutese vya kutosha ili wengine wapate kumgeukia.

Kama hukatai mateso, kwa nini kila siku unamuomba huyo Mungu akuepushe na ajali, majanga na magonjwa?
Angewaumba wemA wote angekuwa ameingilia uhuru wa binadamu
Huyo Mungu anavyotakaga watu waache kutenda maovu na mabaya pia si huwa ana ingilia uhuru wa binadamu?

Kwa nini huko kwenye nyumba zenu za ibada makanisani na misikitini mnahamasishwa kuacha mabaya na maovu?

Je huko pia si kuingilia uhuru wa kibinadamu?
 
Kama hukatai mateso, Basi anza kumuomba huyo Mungu akutese akupe magonjwa, ajali, majanga akutese vya kutosha ili wengine wapate kumgeukia.

Kama hukatai mateso, kwa nini kila siku unamuomba huyo Mungu akuepushe na ajali, majanga na magonjwa?

Huyo Mungu anavyotakaga watu waache kutenda maovu na mabaya pia si huwa ana ingilia uhuru wa binadamu?

Kwa nini huko kwenye nyumba zenu za ibada makanisani na misikitini mnahamasishwa kuacha mabaya na maovu?

Je huko pia si kuingilia uhuru wa kibinadamu?
😂😂😂I'm tired of this questions aiseeee
Ivi kwanini unapinga kila hoja
 
Kabla mtoto hajazaliwa hutangulia kuishi atakaye mzaa...

Unadhani mama wa Mtoto huibuka tu kutoka shimoni?
Hata huyo mama wa mtoto hakuibuka.

Alizaliwa na mama yake pia.

Binadamu Hawaumbwi wala kuibuka.

Binadamu Wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Una elewa hilo?
 
Hata huyo mama wa mtoto hakuibuka.

Alizaliwa na mama yake pia.

Binadamu Hawaumbwi wala kuibuka.

Binadamu Wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Una elewa hilo?
Mzazi wa kwanza duniani alizaliwa na nani kama hakuumbwa ? Au ndo unaamini kwenye evolution theory?
 
Na wewe muulize huyo aliyeandika Quran kwamba huyo Allah alizuka

Quran 112:1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
112:2 - Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
112:3 - Hakuzaa wala hakuzaliwa.
112:4 - Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Haya jibu swali kama hauwezi muulize huyo aliyekuandikia hizo theory akusaidie

Kama Jua lilizuka Kwa Nini hayazuki Majua mengine?
 
Quran iliandikwa na Walevi
 
Kuua au kubaka ni kosa kwa mujibu wa sheria tulizojiwekea binadamu, ni kama kuvuta bangi, inaweza kuwa kosa Tanzania lakini Jamaica si kosa! Njoo na hoja nzito achana na kuokoteza mambo.
Kwa hiyo Jamii yetu tukikubaliana kwamba kubaka watoto wadogo si kosa tutakuwa sahihi?
 
😂😂😂I'm tired of this questions aiseeee
Ivi kwanini unapinga kila hoja
Sipingi bali najaribu kukuonyesha kwamba dhana nzima ya uwepo wa Mungu mkuu, mkamilifu, muweza wa vyote, mwenye upendo na huruma na mjuzi wa vyote ina mapungufu makubwa na utata mwingi sana.

Mungu wa namna hii hawezi kuwepo kwa ulimwengu huu tunao uishi.
 
Hata huyo mama wa mama yake na mtoto hakuibuka tu kutoka shimoni aliumbwa na Mungu
Hakuna Mungu aliyeumba binadamu.

Binadamu Hawaumbwi.

Binadamu Wanazaliwa.

Ni wewe tu unajaribu kufosi kwamba binadamu tuliumbwa na Mungu.
 
Unprovable how?
Mungu ni Roho ambayo ni Timeless, spaceless, immaterial, personal na intelligent. Is nothing personal and intelligent?
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu kabla ya kusema ni timeless, spaceless na immaterial.

Hizi factors mbili "personal ma intelligent" umezipachika sasa hivi.

Thibitisha uwepo wa Mungu na eleza ulijuaje huyo Mungu ni timeless, spaceless na immaterial?

Au unajaribu kufosi imani zako ulizo aminishwa na mafundisho yako ya kidini.
 
Back
Top Bottom