Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #341
Hujielewi ulitaka binadamu atoke Kwa mbuziSasa hapo umejibu nini,!!, We na wenzako hamna hoja yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujielewi ulitaka binadamu atoke Kwa mbuziSasa hapo umejibu nini,!!, We na wenzako hamna hoja yoyote.
God is good💞"God came into existence" Akitokea wapi?
Huko alikokuwa before existence ni wapi?
Na kuliumbwa na nani?
You are completely entitled to your religious beliefs that are not supported by evidences.
But the moment you spread them as the truth you are a liar.
And if you spread them as truth knowing clearly they are not supported by vivid evidences you are both a liar and fraudster.
Maswali gani hayaSawa,kwa mtazamo wako huo huo,binadamu wa kwanza alitokeaje au alitokea wapi?
Ujajibu swali la awali,unaenda kwa kiumbe mwingine!!Hujielewi ulitaka binadamu atoke Kwa mbuzi
Mtaje huyo kiumbe na uthibitishe hapa Kwa sura ya huyo kiumbeUjajibu swali la awali,unaenda kwa kiumbe mwingine!!
Kuna mabikra 72 huko peponi wanakusubiri baada ya kufa ukajirushe nao katika mito ya kamyweso mkigida larger ya peponi.Mwisho wa yote ni kifo hamna jipya endelea kuwa zombi la dini ila utakufa tu
Ulishawahi kufa ukayaona hayo maisha we bwegeKuna mabikra 72 huko peponi wanakusubiri baada ya kufa ukajirushe nao katika mito ya kamyweso mkigida larger ya peponi.
Kuna maisha baada ya kifo we fala
Bwege mwenyewe..Ulishawahi kufa ukayaona hayo maisha we bwege
Ulivyo fala we umekunya kabla hujashiba?Bwege mwenyewe..
Ulishawahi kwenda kunya kabla hujashiba?
"God is good" anaacha maelfu ya watoto wanakufa kwa vita, njaa, magonjwa na hasaidii chochote..God is good💞
Kwa nini huyo Mungu anataka kuaminiwa yupo badala ya kujulikana yupo kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho?Mungu abadirishwi na wanaopitia kwenye barehe ya kiakili. Uzuri wake ni mmoja tu. Ukisema Hayupo YEYE YUPO na ukisema YUPO ni YUPO PIA. Usipomwamini YEYE ni mwingi wa kuaminiwa. Anasema MIMI NIKO AMBAYE NIKO.
Aitwe Kwa jina lolote, na makabila yote. . . . Mungu Yupo.Wewe umedandia conversations njiani hata huelewi nililenga nini kuuliza hilo swali.
Kwanza Mungu hayupo.
Adamu na Eva hawapo.
Zote hizi ni hekaya za vitabuni tu.
Mungu ambaye anapiganiwa, anatetewa na kuhangaikiwa na wanadamu ili aonekane yupo, Ni Mungu mdhaifu, mchovu na goigoi.Aitwe Kwa jina lolote, na makabila yote. . . . Mungu Yupo.
Akili za wanasaukolojia zinamtambua Mungu kama NGUVU ZA ASILI.
Hakuna shida. . . Muite kw jina lolote Yeye yu Hai, Yupo mahali pote.
Nimethibitisha uwepo Wake ktk changamoto zangu nzito.
Kwamfano, , , KESI YA KIMAHAKAMA YA KUKUTWA NA MAFUTA YA MWILI WA MWANADAMU.
. . . . Kama asingenisikia na kufanya . . . . ilikuwa niagieni.
Mbona umepanick? I'm not shaking your faith, I'm just trying to show how manipulative religion is. You believe on something that's not real, it's a conception made by others.You can't shake my faith
Hata Duniani igeizwe upside down, Bado tutaukiri uwepo na uweza wake Mungu."God is good" anaacha maelfu ya watoto wanakufa kwa vita, njaa, magonjwa na hasaidii chochote..
How?.....View attachment 3208478🤷🤷
View attachment 3208477
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Kuua au kubaka ni kosa kwa mujibu wa sheria tulizojiwekea binadamu, ni kama kuvuta bangi, inaweza kuwa kosa Tanzania lakini Jamaica si kosa! Njoo na hoja nzito achana na kuokoteza mambo.
Kama huyo Mungu wako ndio yupo namna hii, Basi ni Mungu mjinga na mpumbavu sana.Hata Duniani igeizwe upside down, Bado tutaukiri uwepo na uweza wake Mungu.
Kwani Matukio hayo Yeye yanamtisha Nini?
Na kama Kitu amekupa na akakichukua wewe unapata pressure ya nini?
Kama una Uchungu sana si utengeneze vyakwako vinavyodumu Milele?
Wewe mwenyewe Ni mpangaji kwenye Hii Dunia.
Mwenye Dunia akiamua kukutoa Balu sijui utaelekea wapi🤣🤣🤣