Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Ukiwa umefikia hapo basi ni hatua nzuri na hakika unakuwa kifkira ila nakuhakikisha baada ya muda utarud kwenye mfumo wa dini yako na hautoongea tena kuhusu dini na Mungu wala kubishana..hapo sasa ndio utakuwa umekamilika kifkira na roho..
 
Mi nadhani anayeamini Mungu yupo ndo anapaswa kujinyonga ili aachane na taabu za hii Dunia awahi kwa Baba yake.
Kujiua ni dhambi, wewe Kwa nini hujajiua ili uepuke shida za dunia?
Swali jingine kama Mungu hayupo Kwa nini kuua au kubaka mtu iwe kosa? Nani anaye amua kama uovu ni uovu,?

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Kwa nini unadhani kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimewekwa, Huyo Mungu aliwekwa na nani?
Mungu hajawekwa na mtu wala kitu chochote Kwa sababu Mungu ni 'Timeless', 'spaceless' na 'immaterial' Kwa hiyo by necessity Mungu anakuwa uncreated creator kwa kuwa yeye ndiye aliye umba 'Time', 'space' na 'Material'.
 
Kwanini Mungu hamuui Shetani ?
Shetani yupo kutimiza ahadi ambayo Mungu alimpa Bindamu ya freedom ;either mankind to choose evil or right
Kama Shetani ndio chanzo cha uovu kwanini huyo Mungu anakuja kumuadhibu binadamu Kwa kuwa muovu wakati chanzo ni Shetani ambae aliumbwa na Mungu pia?
Sababu Mungu alimpa bindamu uwezo wa kujua Baya na zuri na licha ya hayo yote kampa Holy spirit ya kumuongoza .

So it's we human to.choose one path from the freedom we are given either good or evil path

Adhabu lazima iwepo
Huyo Mungu ana akili kweli ?
Ingekuwa hana akili angekupa pumzi
 
Kwa nini huyo Mungu atoe option ya kuchagua mazuri au mabaya ilhali yeye hapendi mabaya?

Kama huyo Mungu hapendi mabaya, Kwa nini hakuweka option ya kutenda mazuri tu?

Kama huyo Mungu hapendi mabaya, kwa nini aweke option ya kuweza kutenda mabaya?

Kulikuwa na haja gani kuumba maisha ya kupita, ilhali kuna maisha ya milele?

Kulikuwa na haja gani kuumba viumbe na binadamu vije viteseke kwanza duniani, Halafu eti baadae ndio tuje tupate raha huko mbinguni?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?

Kama una amini akili yako tu ndio inakuongoza na ndio ina uwezo, Kwa nini unahangaika kusali na kumuomba huyo Mungu?

Ninyi si ndio mna amini maisha yenu yote ni God's plan?

Kama una amini maisha yako yote ni God's plan, Kwa nini unasema tunaongozwa na akili zetu?

Mimba ikitungwa sio maiti. Acha upotoshaji.

Inaonekana hata Biology hukusoma.

Hizi ni hadithi na hekaya za vitabuni tu zisizo na uthibitisho wowote ule.

Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.

1) wewe hauna mabaya ya kufanyia Mungu
Unaweza kufanya Mabaya kuifanyia
binadamu mwenzako

Au utafanya mabaya kuifanyia nafsi yako Kwa mfano unapopinga uwepo wa Mungu hapo unafanya mabaya lakini unaifanyia nafsi yako maana nafsi yako ndio itakayoadhibiwa Kwa hilo

2) Pia nimesha kuambia Mungu uwezo wa kuumba viumba wasiotenda mabaya anao na viumbe hao ni malaika

3) Option uliyopewa
Yani hayo unayosema na kuamini kuwa Mungu hakuna hiyo ndio inaitwa option ambayo wewe umepewa na malaika hawakupewa

4) Akili uliyopewa unaweza kuitumia vizuri ikakupeleka peponi na unaweza kuitumia vibaya ikakupeleka motoni ndio hiyo option

Mungu anasema ndani ya Quran mtu anayeitumia vizuri akili yake akiamka asubuhi akiona jua linavyochomoza na kuzama jioni anajua kuwa Mungu yupo
Sasa kama wewe Kila siku unaliona jua linachoma jioni linazama haujui Wala haufikilii kuhusu hilo basi akili yako umeshindwa kuitumia vizuri

5) Tafuta kwanza definition ya Maiti
Kwa kukusaidia mimba inaputunga unakuwa maiti Hadi siku ambayo moyo wako unaanza kudunda ndio unakuwa hai na kuanza movement za hapa na pale
Na siku moyo wako ukiacha kudunda unakuwa umerudi kuwa maiti

6) Quran ndio kitabu pekee Kwa Sasa kilichopo hapa Duniani ndio kinatoa definition ya kwali kuhusu Mungu

Na hata nyinyi ambao mnasema hakuna Mungu ni Kwa sababu hamjapata bahati ya kufundishwa kujumjua Mungu kupitia Quran it's means nyinyi chimbuko lenu ni Ugalatia

Hata siku Moja hautamkuta mtu aliyekulia katika uislam akasema hakuna Mungu hata kama atatoka katika uislam atapinga tu baadhi ya mambo lakini hata siku Moja hawezi kusema hakuna Mungu

Jiandae bro Jahanamu inakusubiri

Yani Mungu atengeneze Jua ashindwe kutengeneza Jahanamu?
 
Mungu hajawekwa na mtu wala kitu chochote Kwa sababu Mungu ni 'Timeless', 'spaceless' na 'immaterial' Kwa hiyo by necessity Mungu anakuwa uncreated creator kwa kuwa yeye ndiye aliye umba 'Time', 'space' na 'Material'.
Basi huyo Mungu ni Nothing.
FB_IMG_1732140393706_1.jpg
 
You are contradicting yourself.

You said something cannot come from nothing. But now again you are saying God came from nothing!!

Don't you see, you're contradicting yourself?
Something cannot come from nothing but if God came from something He is not to be worshipped
Where was God before the beginning?
In a place called heaven
 
1) wewe hauna mabaya ya kufanyia Mungu
Unaweza kufanya Mabaya kuifanyia
binadamu mwenzako

Au utafanya mabaya kuifanyia nafsi yako Kwa mfano unapopinga uwepo wa Mungu hapo unafanya mabaya lakini unaifanyia nafsi yako maana nafsi yako ndio itakayoadhibiwa Kwa hilo
Kwa nini huyo Mungu aiadhibu nafsi yangu wakati alikuwa na uwezo wa kuniumba niwe na nafsi isiyofanya mabaya?
2) Pia nimesha kuambia Mungu uwezo wa kuumba viumba wasiotenda mabaya anao na viumbe hao ni malaika

3) Option uliyopewa
Yani hayo unayosema na kuamini kuwa Mungu hakuna hiyo ndio inaitwa option ambayo wewe umepewa na malaika hawakupewa

4) Akili uliyopewa unaweza kuitumia vizuri ikakupeleka peponi na unaweza kuitumia vibaya ikakupeleka motoni ndio hiyo option

Mungu anasema ndani ya Quran mtu anayeitumia vizuri akili yake akiamka asubuhi akiona jua linavyochomoza na kuzama jioni anajua kuwa Mungu yupo
Sasa kama wewe Kila siku unaliona jua linachoma jioni linazama haujui Wala haufikilii kuhusu hilo basi akili yako umeshindwa kuitumia vizuri

5) Tafuta kwanza definition ya Maiti
Kwa kukusaidia mimba inaputunga unakuwa maiti Hadi siku ambayo moyo wako unaanza kudunda ndio unakuwa hai na kuanza movement za hapa na pale
Na siku moyo wako ukiacha kudunda unakuwa umerudi kuwa maiti

6) Quran ndio kitabu pekee Kwa Sasa kilichopo hapa Duniani ndio kinatoa definition ya kwali kuhusu Mungu

Na hata nyinyi ambao mnasema hakuna Mungu ni Kwa sababu hamjapata bahati ya kufundishwa kujumjua Mungu kupitia Quran it's means nyinyi chimbuko lenu ni Ugalatia

Hata siku Moja hautamkuta mtu aliyekulia katika uislam akasema hakuna Mungu hata kama atatoka katika uislam atapinga tu baadhi ya mambo lakini hata siku Moja hawezi kusema hakuna Mungu

Jiandae bro Jahanamu inakusubiri

Yani Mungu atengeneze Jua ashindwe kutengeneza Jahanamu?
Jua halikutengenezwa na Mungu.

Ni wewe tu unafosi kwamba jua lilitengenezwa na Mungu.

Unafanya Logical non sequitur fallacy.

Hakuna Jehanam.

Hakuna Mungu.
 
Tatizo badala ya kusema nimegundua mambo haya na haya kwenye imani fulani hayapo sawa ila mtu anaenda kuhitimisha kusema dini utapeli au hakuna Mungu.
 
Back
Top Bottom