Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Nani aliyetengeneza Jua?Kwa nini huyo Mungu aiadhibu nafsi yangu wakati alikuwa na uwezo wa kuniumba niwe na nafsi isiyofanya mabaya?
Jua halikutengenezwa na Mungu.
Ni wewe tu unafosi kwamba jua lilitengenezwa na Mungu.
Unafanya Logical non sequitur fallacy.
Hakuna Jehanam.
Hakuna Mungu.