Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

"God came into existence" Akitokea wapi?

Huko alikokuwa before existence ni wapi?

Na kuliumbwa na nani?

You are completely entitled to your religious beliefs that are not supported by evidences.

But the moment you spread them as the truth you are a liar.

And if you spread them as truth knowing clearly they are not supported by vivid evidences you are both a liar and fraudster.
God is good💞
 
Mwanadamu anakuwa connected na Mungu Kwa njia ya Roho.
Maana Mungu ni Roho.
Roho ya Mwanadamu iliyo Safi, yenye unyenyekevu na kumcha Mwenyezi Mungu, , , Hiyo Huwa affected by God's Elements.
Omnipresent & Omnipotent are some of God's Elements zinamvaa Mtu wa Kiroho na kuleta MFANANO WA KIMUNGU KWA NJIA YA ROHO.
. . . Kama Umepitia Bible School Hauwezi kunielewa😃😃😃
Maana Hao wamekaririshwa History, Hawajui kuchimbua Madini Yao wenyewe.
 
Mungu abadirishwi na wanaopitia kwenye barehe ya kiakili. Uzuri wake ni mmoja tu. Ukisema Hayupo YEYE YUPO na ukisema YUPO ni YUPO PIA. Usipomwamini YEYE ni mwingi wa kuaminiwa. Anasema MIMI NIKO AMBAYE NIKO.
 
Mwisho wa yote ni kifo hamna jipya endelea kuwa zombi la dini ila utakufa tu
Kuna mabikra 72 huko peponi wanakusubiri baada ya kufa ukajirushe nao katika mito ya kamyweso mkigida larger ya peponi.

Kuna maisha baada ya kifo we fala
 
God is good💞
"God is good" anaacha maelfu ya watoto wanakufa kwa vita, njaa, magonjwa na hasaidii chochote..

How?.....
FB_IMG_1737375861704.jpg
🤷🤷
JamiiForums1832832046.jpeg

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
 
Mungu abadirishwi na wanaopitia kwenye barehe ya kiakili. Uzuri wake ni mmoja tu. Ukisema Hayupo YEYE YUPO na ukisema YUPO ni YUPO PIA. Usipomwamini YEYE ni mwingi wa kuaminiwa. Anasema MIMI NIKO AMBAYE NIKO.
Kwa nini huyo Mungu anataka kuaminiwa yupo badala ya kujulikana yupo kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho?

Huyo Mungu kama yupo kwa nini anajificha ili aaminike yupo?

Kwa nini asijitokeze hadharani akajulikana yupo kwa uhakika kabisa, Bila utata na utofauti wa kiimani?
 
Wewe umedandia conversations njiani hata huelewi nililenga nini kuuliza hilo swali.

Kwanza Mungu hayupo.

Adamu na Eva hawapo.

Zote hizi ni hekaya za vitabuni tu.
Aitwe Kwa jina lolote, na makabila yote. . . . Mungu Yupo.
Akili za wanasaukolojia zinamtambua Mungu kama NGUVU ZA ASILI.
Hakuna shida. . . Muite kw jina lolote Yeye yu Hai, Yupo mahali pote.
Nimethibitisha uwepo Wake ktk changamoto zangu nzito.
Kwamfano, , , KESI YA KIMAHAKAMA YA KUKUTWA NA MAFUTA YA MWILI WA MWANADAMU.
. . . . Kama asingenisikia na kufanya . . . . ilikuwa niagieni.
 
Mungu ambaye anapiganiwa, anatetewa na kuhangaikiwa na wanadamu ili aonekane yupo, Ni Mungu mdhaifu, mchovu na goigoi.

Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini anajificha halafu anataka kuaminiwa akiwa mafichoni?

Kwa nini asijitokeze hadharani mwenyewe akajulikana yupo na kila mtu pasipo utata na utofauti wa kiimani?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee na kujiongelea mwenyewe kama ana huo uwezo.

Sio ninyi mumuhangaikie kumuelezea.

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.
 
"God is good" anaacha maelfu ya watoto wanakufa kwa vita, njaa, magonjwa na hasaidii chochote..

How?.....View attachment 3208478🤷🤷
View attachment 3208477
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Hata Duniani igeizwe upside down, Bado tutaukiri uwepo na uweza wake Mungu.
Kwani Matukio hayo Yeye yanamtisha Nini?
Na kama Kitu amekupa na akakichukua wewe unapata pressure ya nini?
Kama una Uchungu sana si utengeneze vyakwako vinavyodumu Milele?

Wewe mwenyewe Ni mpangaji kwenye Hii Dunia.
Mwenye Dunia akiamua kukutoa Balu sijui utaelekea wapi🤣🤣🤣
 
Kujiua ni dhambi, wewe Kwa nini hujajiua ili uepuke shida za dunia?
Swali jingine kama Mungu hayupo Kwa nini kuua au kubaka mtu iwe kosa? Nani anaye amua kama uovu ni uovu,?

Quote Reply
Report Edit Delete
Kuua au kubaka ni kosa kwa mujibu wa sheria tulizojiwekea binadamu, ni kama kuvuta bangi, inaweza kuwa kosa Tanzania lakini Jamaica si kosa! Njoo na hoja nzito achana na kuokoteza mambo.
 
Hata Duniani igeizwe upside down, Bado tutaukiri uwepo na uweza wake Mungu.
Kwani Matukio hayo Yeye yanamtisha Nini?
Na kama Kitu amekupa na akakichukua wewe unapata pressure ya nini?
Kama una Uchungu sana si utengeneze vyakwako vinavyodumu Milele?

Wewe mwenyewe Ni mpangaji kwenye Hii Dunia.
Mwenye Dunia akiamua kukutoa Balu sijui utaelekea wapi🤣🤣🤣
Kama huyo Mungu wako ndio yupo namna hii, Basi ni Mungu mjinga na mpumbavu sana.

Ni Mungu mkatili, muuaji, muovu, bandidu, sadist, nunda, dikteta na hana hata chembe ya huruma.

Mungu huyo hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
 
Back
Top Bottom