Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #41
Hahahaha ni hatari sanaAfrica ndio mahali pekee ambapo DINI zimewalevya, watu wamekuwa mateja na misukule ya wajanja wachache.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha ni hatari sanaAfrica ndio mahali pekee ambapo DINI zimewalevya, watu wamekuwa mateja na misukule ya wajanja wachache.
I could feel that mkuu 😅.Ushanizoom eeh?
Mkuu mimi naogopa sana watu kujua hakuna Mungu bila ya kuwa na elimu sahihi.
You can fool some people for sometime, but you cannot fool all people all of the time.Atheism inakuwa kwa kasi sana nchini, why?
Nivyema ungejinyonga wewe Ili ukaonane na. Huyo mungu unaemuimba Kila siku Cha ajabu unaishi hutaki kumuona🤣🤣🤣🤣🤣Kama Mungu hayupo Kwa nini usijinyonge? Kuna haja gani ya kuishi miaka 80 wakati mwisho ni kufa tu kama ulvyo Sema? Kwa nini usife sasa hivi?
We ni moja ya wajinga wanaendelea kupigwa kisa diniNyie ndo mtasababisha moto uwake na huku tz
Kwa nini unalazimisha awepo aliyeumba viumbe, ardhi na binadamu?Hapana,ila inasikitisha sana,hivi hata alama hazioni!!?,ajiulizi yeye katokeaje na viumbe wengine wametokea wapi??nani kamuumba yeye,aridhi,mbingu nk.
Ndivyo ulivyo pumbazwa na kuaminishwa hofu zako uchwara na dini yako.Fanya vyote lakini usimdhihaki Mungu, ni swala la muda atakuthibitishia uwepo wake
yaani dah! Sema watu kama hawa MUNGU awahurumie awasamehe huenda hawajui walitendaloNyie ndo mtasababisha moto uwake na huku tz
Mungu hayupo mbona unalazimisha mambo mzee atuhurumie wakati hayupoyaani dah! Sema watu kama hawa MUNGU awahurumie awasamehe huenda hawajui walitendalo
NIMEIKUTA HII MAHALAKuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zinduke I dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini
Huyo God ambaye unasema is good, ndio anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto wadogo na wanawake wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili duniani.God is good
Sawa mwelevuWe ni moja ya wajinga wanaendelea kupigwa kisa dini
Gazeti refu limejaza utumboNIMEIKUTA HII MAHALA
Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia,
Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda, Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani,
Sasa hivi wanafyeka mahecta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lkn kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia,
mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia,
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!
Hakika ipo siku wataamka tu kwenye huo usingiziyaani dah! Sema watu kama hawa MUNGU awahurumie awasamehe huenda hawajui walitendalo
Usingizi unao wewe hapo ambae hujawashtukia matapeli wa duniaHakika ipo siku wataamka tu kwenye huo usingizi
sawaUsingizi unao wewe hapo ambae hujawashtukia matapeli wa dunia