Rasmi nimemaliza chuo, bila mshahara wa milioni moja sifanyi kazi. Tumshauri au tumuache!

Utakapoanza kukanyaga mafuta ya mwamposa usije tena hapa jukwaani kuomba ushauri.
Omba radhi mapema kabla shetani hajaja kukuchapa viboko visivyo na idadi.
 
Mtu kaweka standards zake makasiriko yameanza sio wote ni kama sisi tunaokubali kazi za laki
 
Wachache niliowaona si ndo mfano kwamba inawezekana
Yeah hakuna lisilowezekana chini ya jua, lakini mambo magumu huwa wanafanikiwa wachache kama hao uliowaona. Mimi nazungumzia kwa context ya majority.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…