Rasmi Putin aonesha sample za noti mpya za BRICS. Je, huu ndio mwisho wa US Dollar?

Hawezi kukuelewa sababu amejaza ushabiki wa kindezi kwa US kuliko uhalisikia
 
Marekani anaua hadi watu wake mwenyewe kupitia business ya madawa ya kulevya ni kubwa mno US yaan more than evil sijui wana mpango gani na hii dunia ovyo tuu
Wale wanajali pesa Tu utu wa mtu kwao hauna thamani
 
msiwe mnaandika humu ikiwa vichwa vyenu ni empty jamani
 
Imeshindwa EURO 💶 sidhani kama hiyo BRICS itaiweza dollar.
 
Sijui wakati wa mikwara ya kuanzishwa 💶 EURO ulikuwa wapi na ulikuwa na umri gani, mikwara iliyopigwa mpaka na mainstream media za kidunia wengi walijua kuwa US Dollar ndiyo imefika mwisho wake but see what exactly happened yaani ni contrary hata kwa magwiji wa uchumi wa Ulaya walivyokuwa waki-predict.
Kuipiku Dollar kwanza uyumbe au uanguke kabisa uchumi wa Marekani otherwise haitowezekana.
 
Wameweka bendera za nchi zao, sisi wageni waalikwa tutaweka nini? BRICS ni kama UGOMVI wa MKE ALIYE TARIKIWA.
 
China haitegemei USA na Iran ndio kabisa haitegemei USA.
Japo sijajua kama ameingia bricks rasmi huyu Iran.
Wewe hata kidogo kivipi china isitegemee USA itakuwa kichekesho hivi unajua soko la chuma china inategemea kwa asilimia kubwa sana familia meli kubwa za evergreen nanga ni USA
 
Unaongea unabwabwaja ongea kwa hatua.
China haitegemei USA.
Unajua maana ya kumtegemea!?
Hivi unajua ile trade war ya kipindi cha Trump China alilipa kisasi kwa kuzuia rare metals,chuma kwenda USA kama raw materials!?
Kama angekua anamtegemea USA si angepiga magoti yaishe!?
Embu nenda kakifuatilie trade war ya 2018 baina ya USA na China uone jinsi China sasa hivi ilivyo taifa lenye nguvu.
 
China haitegemei USA na Iran ndio kabisa haitegemei USA.
Japo sijajua kama ameingia bricks rasmi huyu Iran.
Hiyo sarafu imekaa kipropaganda zaidi. Na anayefanya hiyo propaganda anafahamika.

BRICS imekosa common values za kuweza kuendesha mfumo wake wa kifedha kama huo. Nchi wanachama karibu zote zina ushirika wa karibu wa kibiashara (trading partnership) na Marekani ambayo huwa hainunui bidhaa kwa pesa tofauti na US Dollar.

China ndiye mwanachama wa BRICS mwenye uchumi mkubwa zaidi. Mshirika mkubwa wa kibiashara wa China ni Marekani. Nchi zingine zilizopo ndani ya BRICS kama India, Brazil na South Africa nazo zina ushirika mkubwa wa kibiashara (bilateral trade) na Marekani hiyohiyo.

Nimeona mahali Ramaphosa wa South Africa anasema kwamba Urusi ni "valuable ally" wa South Africa. Ukweli ni kwamba, Urusi haipo hata kwenye top 10 ya washirika wa karibu wa South Africa kibiashara. Hao wawili ni mfano mmoja tu wa member states ndani ya BRICS ambao hawafanyi biashara yoyote ya maana kimataifa. Kwa lugha nyingine, insignificant trade partnership.

Maana yake ni kwamba, member states zinatofautiana sana kimaslahi hasa linapokuja suala la uchumi. Nchi zinazopigia chapuo hiyo sarafu mpya ni chache tu ambazo ziko kwenye vikwazo vikubwa vya kiuchumi vya Marekani. Miongoni mwazo ni Urusi, Iran pamoja na North Korea ambazo zinashika hili bango la noti mpya kwa maslahi yao yanayotokana na kuwa na uhasama wa muda mrefu na Marekani.

Lakini tukijikita kwenye bigger picture, hakuna nchi yenye ushirika wa kibiashara na Marekani ambayo iko tayari kujitoa muhanga kiuchumi kwa kuachana na Dollar ili tu kuimarisha uhusiano na Urusi, Iran ama North Korea.

Kuna habari kwamba Zimbabwe na Venezuela pia zinataka kujiunga na BRICS. Matatizo ya hizo nchi ni ya kisera na siasa zao za ndani ambazo zimeharibu uchumi wa nchi lakini kwa namna fulani Mnangagwa na Maduro wanadhani wanaweza kuitumia BRICS kisiasa ili kuongeza chochote cha maana kwenye uchumi wa nchi zao.

Ni vigumu kujenga uchumi kwa mihemko na propaganda
 
Euro imeshindwa nini,mbona haikuwa meant to replace the US Dollar.The Euro was meant to be a currency for the European Eunion huku wakiendelea kutumia the US Dollar in international transactions, msichanganye mambo. On the other hand,the BRICS currency is meant to replace the US Dollar in all BRICS member countries na hawatatumia the US Dollar in their international transactions.This will definitely see the value of the US Dollar crushing,because it's value was based on it's use as an international medium of exchange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…