Rasmi: Rishi Sunak Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

Rasmi: Rishi Sunak Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

Tokea yule kijana wa Princess Diana aoe mswahili wa huko Marekani, hawako salama, uingereza imeshavurugwa.
UK sio BONGO , huyu SIJENGI BANDARI , yule BANDARI NI MCHONGO JENGENI WANA , ulaya nchi zao zinaendeshwa kwa mifumo usipofiti unajitoa mwenyew , Ukute huyo ni picha tu ili mfalme atawale vzr nchi
 
Duniani hakuna kinachoshindikana kukiwa na nia..

Leo hii wazungu waingereza waliowatawala wahindi Meza imeponduka wao ndio wanatawaliwa ni mhindi ,😁😁

View attachment 2396767
Hakuna Mhindi hapa ni ngozi tu lakini ndani huyu ni mtoto wa malkia kwa maslahi ya umalkia na mfalme wao.

Tofautisha kipindi cha ukoloni walitawala kwa maslahi ya Uingereza na sio ya India
 
Ni mshamba pekee asiyemjua Rishi Sunak na historia yake ya kazi, na kina nani washirika wake anayedhani Wahindi wana lolote la kunufaika na yeye kuwa PM wa UK. Tena ni Mhindu kwa dini ila yupo kwa maslahi ya taifa la Uingereza.

Ni sawa na Wakenya walivyobeba bendera za Obama alipochaguliwa na hakufanya lolote kwa ajili yao. Rishi nae mzazi wake alitokea Kenya na bado hawataambulia kitu. Sio kama sisi Rais anajenga airport porini kwao
 
Ukiacha ushabiki na ubishani..... kwenye nyuzi kama hizi ndio unagundua tupo nyuma sana kwenye masuala na siasa za ulimwengu.........hata ukicheki michango ya hapa utagundua Hilo.......

Ukienda kwenye forums nyingine utakuta wanalichambua kwenye nyanja mbali mbali kama vile kiuchumi, kisiasa, na kideplomasia lakini hapa no ushabiki kama wa Simba na Yanga.......hapa ndipo wanapotuacha mbali wa Kenya.....
 
Hapa wanabishania origin ya mtu badala ya uwezo wake kwenye leadership.
 
Mambo yamepiga gia ya reverse, mhindi kakamata usukani kwenye nchi ya waingereza

Kiuhalisia Waziri mkuu ndie mwenye cheo kizito kuzidi hata mfalme / malkia wa uingerza. Waziri mkuu ndie kiongozi mkuu wa shughuli za kiserikali, Malkia / Mfalme yupo symbolic zaidi lakini real power ipo kwa waziri mkuu.

waliowahi kuwa mawaziri wakuu wapo kina Borris Johnson, Theresa May, David Cameron, Tony Blair, n.k

hiki cheo kwa sasa kipo mikononi mwa Rishi Sunak mwenye asili na dini ya kihindi,

View attachment 2396784
Ndivyo unavojua........eti mfalme Hana maajabu......SASA ngoja nikwambie kitu huyo akitoka bungeni lazima akajitambulishe kwenye Ile koo maaana wale ndio wenye uingereza Yao..........sema nini mwamba katisha kutoka kuabudu ng'ombe mpaka kuisimamia tawala kubwa duniani kama Ile............
 
Back
Top Bottom