Rasmi: Rishi Sunak Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

Rasmi: Rishi Sunak Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

Mambo yamepiga gia ya reverse, mhindi kakamata usukani kwenye nchi ya waingereza

Kiuhalisia Waziri mkuu ndie mwenye cheo kizito kuzidi hata mfalme / malkia wa uingerza. Waziri mkuu ndie kiongozi mkuu wa shughuli za kiserikali, Malkia / Mfalme yupo symbolic zaidi lakini real power ipo kwa waziri mkuu.

waliowahi kuwa mawaziri wakuu wapo kina Borris Johnson, Theresa May, David Cameron, Tony Blair, n.k

hiki cheo kwa sasa kipo mikononi mwa Rishi Sunak mwenye asili na dini ya kihindi,

View attachment 2396784
Ofcourse ni kweli ana madaraka makubwa , lakini swala kubwaa kuelewa ni kwamba haijalishi sana , kinachoangaliwa pale ni mfumo ,Pale ukizingua wenye mifumo yao wanakutoa, Kuhusu familia za kifalme pale Uingereza unatakiwa uelewe ndio wameishikilia nchi kila kona na hata huyo sunak kapata baraka zote kutoka kwao
 
Mifumo ya kwao ilishaimarika, yeyote mwenye uwezo anaweza kukalia kiti hicho. Ukiona namna PM anavyoulizwa maswali kwenye bunge lao; inadhihirisha hiyo nafasi ni ngumu sana kiutendaji, na kama atakaa muda mrefu kwenye kiti hicho, inamaanisha yeye na timu yake wako vizuri kwenye uongozi.
 
Atawatala vip wakati yupo ndani na anadhibitiwa na mifumo a yao?

Loyalty yake ni lazima iwe kwa Uingereza kwanza na sio India.

Akizingua si analazimishwa kujiuzulu kama Boris na Liz
Waafrika haya makabila yametukaa sana. Mi naona tungebaki na utawala wetu wa Makabila hizi nchi zinatuzingua tu
 
Majuzi kiongozi wa Labour Kiir Stamer alikuwa anadai ufanyike uchaguzi mkuu........sioni kama huyu atadumu, labda aitishe uchaguzi wa mapema, atafute kuungwa mkono na wananchi.
 
Prime minister ndio cheo kikubwa cha kiserikali Kwa UK, ana power kubwa sana,,
Kumbuka ameenda kupata ridhaa kwa Mfalme leo
Na Charles kampa go ahead akaunde baraza la mawaziri
Unaijua nguvu ya Mfalme au unaandika tu kutufurahisha
Kwa sasa hana nguvu ya kumtimua lakini ana mamlaka ya juu

Sunak ameishakua Waziri wa Fedha ambapo pia kilikuwa cheo kikubwa cha Tatu [emoji636]
 
Tokea yule kijana wa Princess Diana aoe mswahili wa huko Marekani, hawako salama, uingereza imeshavurugwa.
Daaa kweli bana!! lkn ina kuwaje wahindi wanasepa Ulaya kutokea hapa kwetuuuu!....kambarage alienda akarudi wao hawarudi ng'ooo!
 
Daaa kweli bana!! lkn ina kuwaje wahindi wanasepa Ulaya kutokea hapa kwetuuuu!....kambarage alienda akarudi wao hawarudi ng'ooo!
Wao waliwekeza sana nchi za matajiri hata kwao hawajarudi bali wapo [emoji636] na [emoji1063] [emoji260] zaidi
Wanapambana na wanasomesha watoto wao baada ya kujiwekea akiba na kufungua biashara zao

Wao wanaanza na kuuza sambusa Makwao akiwa ugenini wanawauzia ndugu zao
Wanajiendeleza mwisho baada ya miaka wanakuwa wasambazaji mpaka supermarkets

Sisi watoto panya road na baba anasubiriwa afe warithi nyumba
 
Kwenye kila Kabila (au jamii tuseme) Wahindi, Wazungu, waafrika kuna vichwa maji na wapambanaji wanaofanikiwa. Kwahyo usitumie mifano michache kuwapamba au kuwaponda kabila au jamii flani. Kuna wahindi mburula mpaka unashangaa huyu wa wapi kama ilivyo kuna waafrika wapo smart na wanatuwakilisha ngazi za juu vyema
 
Hakuna watu Ng'ombe kama wahindi. Nenda India ni masikini kuliko Tanzania. Wasio na pa kuishi ni kama nusu ya watanzania wanalala barazani
Usione wahindi wa Tanzania Wana nywele nyeusi Ile ni Rangi wanapakaa, India joto Kali watu nywele zimepauka kama Wana kwashakoo
Nenda kiwanda Cha A to Z Arusha utaona latest wahindi ndio wameletwa kutoka India hawajawahi kuvaa viatu ..wanavijulia hapa Bongo
Wanaanzishwa na Dose ya yeboyebo Ili waanze kuzoea
Mhindi asikukoromee wamekuja kufanikiwa hapa
Wakishapata hela wanapanda zao England na Canada wanatulia

Na ndio kabila linaongoza kwa uchafu huku Dunia ni ukitembelea makazi yao
Ukikutana nae huku barabarani very smart [emoji851] nenda home anakotoka utamhurumia
 
Kwenye kila Kabila (au jamii tuseme) Wahindi, Wazungu, waafrika kuna vichwa maji na wapambanaji wanaofanikiwa. Kwahyo usitumie mifano michache kuwapamba au kuwaponda kabila au jamii flani. Kuna wahindi mburula mpaka unashangaa huyu wa wapi kama ilivyo kuna waafrika wapo smart na wanatuwakilisha ngazi za juu vyema
Mimi naongelea waliofukuzwa kwenye utajiri wa Africa
Wakaja kuwekeza huku
Wapo waafrika wengi huku pia na weusi kutoka nchi nyingi duniani kama Jamaica kwa miaka kibao na walipewa uraia tangu mwaka 1961 na hawana lolote hata kwenye Bunge la [emoji636] walipopewa uraia hawamo
Unajua kwanini? Na kwanini hawana maendeleo kabisa hapa uk? Ungeona miji wanayoishi ungesikitika sana pamoja na kupewa Uraia miaka 60 iliyopita

Siwasifii wahindi ila nimeandika facts tu na huwezi kuubadili
Blacks ulaya hakuna matajiri labda maduka ya kuuza samaki na fufu tena local kwa ndugu na jamaa tu
Wala halina ubishi wapo Wasomali, Nigeria, Ghana na wengine wengi waafrika ila zaidi ya migahawa hawana kitu cha maana kama makampuni makubwa ya kuajiri maelfu ya watu
Njoo Brixton na Tottenham utawakuta walivyo dhalili
 
Ukweli ni kuwa, Kwenye kila jamii/ kabila kuna mburula na watu wenye mafanikio. Nyie waafrika wa UK huko ndo mnatuaibisha huko.
 
Back
Top Bottom