Bado mfalme ana nguvu sana kuliko PM.
Unasema Nini? Mfalme yupo kufanya Nini?
Endelea kujidanganya hivo hivo
Ofcourse ni kweli ana madaraka makubwa , lakini swala kubwaa kuelewa ni kwamba haijalishi sana , kinachoangaliwa pale ni mfumo ,Pale ukizingua wenye mifumo yao wanakutoa, Kuhusu familia za kifalme pale Uingereza unatakiwa uelewe ndio wameishikilia nchi kila kona na hata huyo sunak kapata baraka zote kutoka kwaoMambo yamepiga gia ya reverse, mhindi kakamata usukani kwenye nchi ya waingereza
Kiuhalisia Waziri mkuu ndie mwenye cheo kizito kuzidi hata mfalme / malkia wa uingerza. Waziri mkuu ndie kiongozi mkuu wa shughuli za kiserikali, Malkia / Mfalme yupo symbolic zaidi lakini real power ipo kwa waziri mkuu.
waliowahi kuwa mawaziri wakuu wapo kina Borris Johnson, Theresa May, David Cameron, Tony Blair, n.k
hiki cheo kwa sasa kipo mikononi mwa Rishi Sunak mwenye asili na dini ya kihindi,
View attachment 2396784
Politics play kote kote hata huko wanahitaji kukuona richa ya Sera za chama chako wewe utaleta nini kipya.kule sio chattle kuwa kila aneingia analeta yake
Mfalme anaweza kumla kichwa PM je unalijua hilo?Waziri Mkuu wa Uingereza ndiye mwenye nguvu zaidi kuzidi Mfalme/Malkia
Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa na legislative power Mfalme yupo zaidi kama figure head lakini real power ipo kwa Waziri Mkuu.www.jamiiforums.com
na hii ndio siasa zetu za Africa, utasikia "huyu wa nyumban kabisa" ukabila bado ni changamotoHapa wanabishania origin ya mtu badala ya uwezo wake kwenye leadership.
Waafrika haya makabila yametukaa sana. Mi naona tungebaki na utawala wetu wa Makabila hizi nchi zinatuzingua tuAtawatala vip wakati yupo ndani na anadhibitiwa na mifumo a yao?
Loyalty yake ni lazima iwe kwa Uingereza kwanza na sio India.
Akizingua si analazimishwa kujiuzulu kama Boris na Liz
Kumbuka ameenda kupata ridhaa kwa Mfalme leoPrime minister ndio cheo kikubwa cha kiserikali Kwa UK, ana power kubwa sana,,
Daaa kweli bana!! lkn ina kuwaje wahindi wanasepa Ulaya kutokea hapa kwetuuuu!....kambarage alienda akarudi wao hawarudi ng'ooo!Tokea yule kijana wa Princess Diana aoe mswahili wa huko Marekani, hawako salama, uingereza imeshavurugwa.
Wao waliwekeza sana nchi za matajiri hata kwao hawajarudi bali wapo [emoji636] na [emoji1063] [emoji260] zaidiDaaa kweli bana!! lkn ina kuwaje wahindi wanasepa Ulaya kutokea hapa kwetuuuu!....kambarage alienda akarudi wao hawarudi ng'ooo!
Kwenye kila Kabila (au jamii tuseme) Wahindi, Wazungu, waafrika kuna vichwa maji na wapambanaji wanaofanikiwa. Kwahyo usitumie mifano michache kuwapamba au kuwaponda kabila au jamii flani. Kuna wahindi mburula mpaka unashangaa huyu wa wapi kama ilivyo kuna waafrika wapo smart na wanatuwakilisha ngazi za juu vyemaWao waliwekeza sana nchi za matajiri hata kwao hawajarudi bali wapo [emoji636] na [emoji1063] [emoji260] zaidi
Wanapambana na wanasomesha watoto wao baada ya kujiwekea akiba na kufungua biashara zao
Wao wanaanza na kuuza sambusa Makwao akiwa ugenini wanawauzia ndugu zao
Wanajiendeleza mwisho baada ya miaka wanakuwa wasambazaji mpaka supermarkets
Sisi watoto panya road na baba anasubiriwa afe warithi nyumba
Mimi naongelea waliofukuzwa kwenye utajiri wa AfricaKwenye kila Kabila (au jamii tuseme) Wahindi, Wazungu, waafrika kuna vichwa maji na wapambanaji wanaofanikiwa. Kwahyo usitumie mifano michache kuwapamba au kuwaponda kabila au jamii flani. Kuna wahindi mburula mpaka unashangaa huyu wa wapi kama ilivyo kuna waafrika wapo smart na wanatuwakilisha ngazi za juu vyema
Ukweli ni kuwa, Kwenye kila jamii/ kabila kuna mburula na watu wenye mafanikio. Nyie waafrika wa UK huko ndo mnatuaibisha huko.Mimi naongelea waliofukuzwa kwenye utajiri wa Africa
Wakaja kuwekeza huku
Wapo waafrika wengi huku pia na weusi kutoka nchi nyingi duniani kama Jamaica kwa miaka kibao na walipewa uraia tangu mwaka 1961 na hawana lolote hata kwenye Bunge la [emoji636] walipopewa uraia hawamo
Unajua kwanini? Na kwanini hawana maendeleo kabisa hapa uk? Ungeona miji wanayoishi ungesikitika sana pamoja na kupewa Uraia miaka 60 iliyopita
Siwasifii wahindi ila nimeandika facts tu na huwezi kuubadili
Blacks ulaya hakuna matajiri labda maduka ya kuuza samaki na fufu tena local kwa ndugu na jamaa tu
Wala halina ubishi wapo Wasomali, Nigeria, Ghana na wengine wengi waafrika ila zaidi ya migahawa hawana kitu cha maana kama makampuni makubwa ya kuajiri maelfu ya watu
Njoo Brixton na Tottenham utawakuta walivyo dhalili