mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Shukrani, ila sifahamu ABC za tamaduni zaojimama, kila la kher
Mmh, hata kwa raia ambaye si Muhindi kama mimi?Pongezi kwako Wahindi wanatoa wenyewe mahali
Atakuoa kwa mahari kabisa mkuu😊Nataka kujua utaratibu kwa ufupi, wa mahari zao na vitu vingine vya msingi ambavyo natakiwa kujua juu ya jamii hii.
Dah kutishana hukoKabla ya kuingia kwenye ndoa nakushauri ujifunze kwanza kula pilipili mkuu
Thanks, afe beki afe kipa... Naomba niishie hapoYeye ndio anatakiwa akulipie wewe mahali, pia kuna cheni za dhahabu anatakiwa apewe mama yako, akimaliza unamchukua anaenda kukaa na mama yako ili mama yako amfundishe wewe unapenda kula chakula cha aina gani, nguo zako zinafuliwaje, na vitu vyote unavyopenda.
Japo kama ni muislam atataja mahali yake na procedure nyengine za kiislam. Kwa wahindi generally kukubali kuoana na caste tofauti, nationality tofauti ni ngumu kwa familia yake kumpa support labla awe muhindi wa kariakoo sio muhindi aliyezaliwa uhindini.
Kivipi? Kawaida tu mbona, angekuwa Mzungu sawaDodo juu ya mnaz kaka [emoji14]
Nimechanganyikiwa mkuu, niliandika uzi wa sifa zake humu, mods wakaufuta.Maendeleo tilonda - unknown
Mkuu hao nasikia wanakulipia mahari wenyewe,, so relax hapo ni kitonga mwanzo mwisho...
Hilo jimama kwanini usiendelee kujilia tu mdogo mdogo,, nini kimekusukuma kutaka kuliweka ndani.....????
Kila la kheri