Rasmi sasa nataka kumuoa mpenzi wangu

Rasmi sasa nataka kumuoa mpenzi wangu

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Shikamoni wanajamvi. Nilileta uzi kuhusu lile jima.ma langu ambalo limezaliwa India. Sasa nataka nilioe kabisa potelea mbali.

Nataka kujua utaratibu kwa ufupi, wa mahari zao na vitu vingine vya msingi ambavyo natakiwa kujua juu ya jamii hii.

Ila nilichojifunza huwa hawapendi uongo. Kuhusu kazi, anafanya kazi kituo x cha watoto yatima kama mmoja wa walezi wao.

Majimama yaacheni tu jamani. Kitovu deeeeep plus wide ass.

Acha ninenepe, nitake nini nisipate? Nimeamimi old is gold. Mimi wa kupiga round 4 kweli? Acheni tu. Anyway naomba kwa anayefahamu taratibu zao za mahari na gharama zingine.
 
Yeye ndio anatakiwa akulipie wewe mahali, pia kuna cheni za dhahabu anatakiwa apewe mama yako, akimaliza unamchukua anaenda kukaa na mama yako ili mama yako amfundishe wewe unapenda kula chakula cha aina gani, nguo zako zinafuliwaje, na vitu vyote unavyopenda.

Japo kama ni muislam atataja mahali yake na procedure nyengine za kiislam.

Kwa wahindi generally kukubali kuoana na caste tofauti, nationality tofauti ni ngumu kwa familia yake kumpa support labla awe muhindi wa kariakoo sio muhindi aliyezaliwa uhindini.
 
Maendeleo tilonda - unknown

Mkuu hao nasikia wanakulipia mahari wenyewe,, so relax hapo ni kitonga mwanzo mwisho...

Hilo jimama kwanini usiendelee kujilia tu mdogo mdogo,, nini kimekusukuma kutaka kuliweka ndani.....????

Kila la kheri
 
Yeye ndio anatakiwa akulipie wewe mahali, pia kuna cheni za dhahabu anatakiwa apewe mama yako, akimaliza unamchukua anaenda kukaa na mama yako ili mama yako amfundishe wewe unapenda kula chakula cha aina gani, nguo zako zinafuliwaje, na vitu vyote unavyopenda.

Japo kama ni muislam atataja mahali yake na procedure nyengine za kiislam. Kwa wahindi generally kukubali kuoana na caste tofauti, nationality tofauti ni ngumu kwa familia yake kumpa support labla awe muhindi wa kariakoo sio muhindi aliyezaliwa uhindini.
Thanks, afe beki afe kipa... Naomba niishie hapo
 
Maendeleo tilonda - unknown

Mkuu hao nasikia wanakulipia mahari wenyewe,, so relax hapo ni kitonga mwanzo mwisho...

Hilo jimama kwanini usiendelee kujilia tu mdogo mdogo,, nini kimekusukuma kutaka kuliweka ndani.....????

Kila la kheri
Nimechanganyikiwa mkuu, niliandika uzi wa sifa zake humu, mods wakaufuta.

Sio poa aisee, nisije pata ban bureee njoo PM kwa details
 
Back
Top Bottom