Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Kiufupi miaka yako yote 6 hukuwa ukijua kitu chenye maana na ndani ya hio miaka 6 ulikua ukiambiwa hayo ni mauchizi achana nayo ww unaamini utatoboa mpka mfuko umetobokaπŸ˜‚πŸ˜‚ leo ndio unatafuta kitu cha kufanya wenzako waliokomaa mtaani leo wameshajiendeleza pakubwa pole dogo forex haikua bahati yako. Pambana na life sasa
 
Tanzania forex traders wanaofaidi wako chini ya 10% ya wanaotrade.

Wengi wanafanya gambling na wanaunguza account tu.

RM zero kwao
Hawana mafunzo.

Wengi wanajifunzia online na kuanza kutrade...
 
Tanzania forex traders wanaofaidi wako chini ya 10% ya wanaotrade.

Wengi wanafanya gambling na wanaunguza account tu.

RM zero kwao
Hawana mafunzo.

Wengi wanajifunzia online na kuanza kutrade...
Kumi kubwa chini ya 5% ,
Hakuna fx training ya online.
Ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa successful,....
RM ni muhimu but si Lazima , kwanza jua unachofanya ,
Cha muhimu uwee skilled vya kutosha.
Mfano mm naweza weka dollar 50 nikapata mia 3,
Nikaweka tena 50 nikapata 200, nikaweka 50 ,nikachoma but overall am in profit side.
Na siyo nikosee direction big no, kuna aina za nyuzi ambazo zipo out of man controll zin shut both side ,
Am on field how to deal with........
 
Hichi ndo ninachopenda ,habari za ku hold mwez sijui week 2afu unatoka na dollar 50,ni ufala
 
Naona umeamua usilaze udamu Sasa...🀣
 
Vp mkuu wewe umenufaika vp na forex hadi sasa?
 
Labia majora nakuita Kwa mara ya tatu nimeipitia hii lost Kwa mara ya nne hivi unataka kunikatisha tamaa au ? πŸ˜… Anyway sasa na hili jina mbona silielewi sawa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Vp mkuu wewe umenufaika vp na forex hadi sasa?
Ukitaka kunufaika na forex hakikisha upo skilled vya kutosha,na kuwa skilled ni just technical and experience and 80% is psychology ,
I earned,I invested and am gonna to be rich below 30years.
Am not mentol na sifikiri kuwa hivyo,but it's good game and I handle it.
 
Lete sasa transactions history tumalize ubishi mkuu both sms screenshot na fx
 
Lete sasa transactions history tumalize ubishi mkuu both sms screenshot na fx
Ili iweje, am not mentor, na why to do so??
I learned my own,I hustle and struggle for my own ,but cpo kumaliza ubishi.
Alafu itafungua code zangu kwa kiasi kikubwa!
Then kama unahisi forex Is something do for your own risk,kama una hitaji another mind iku motivate ,the game z not for you, find another game
 
Mimi sijasema uwe mentor ila tu thibitisha ulichokua unakiandika tangu mwanzo wa uzi

Karibu sana mkuu
 
Acha maneno mengi weka trading history yako hapa tuone.

Au tupe mt4 investor's account credentials tuone hali yako sokoni.


Au tuwekee withdrawal records zako hapa.



Kinyume na hapo wewe ni tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…