Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Tuma trading history yako walau ya hii wiki tuone infact exness anatumaga kwenye email kabisa.....kindly share
mimi natumiaga just forex nimeshindwa kuiextract ila hii hapa graph yao wameandika detailed satement
 

Attachments

  • DetailedStatement.gif
    6.9 KB · Views: 79
Mkuu tupe reasons kwanini umeamua kuacha? Itakuwa funzo pia
 
Huu mtazamo, Umetoa picha kamili wa.........

Na hii ndio comment yangu ya mwisho kwenye hii thread. Na ignore kabisa thread husika.
Hahaaaa....! mi niliamini wewe pia ni katika ma nguli wa forex, kitambo nimekuwa nikikuona ukiielezea vizuri sana!
Kuna pale juu ulisema kwamba ulitoa signal na sasa imekaribia"! Vp zimeumana!?

Kuna mshkaji wangu wa r.chuga yeye ni mtu wa maforex humuambii kitu. Mimi ni gambler ndo game sio shida.

Tukakubaliana kila jioni tukikutana kwenye mambo pia tuoneshane ni kiasi gani mtu kaingiza au kaliwa.
Mwenyewe alikuja kuyakubali ma odds!

Bora kujifunza odds za betting na option zake kuliko forex!
 
sio lazima iwe hivyo pia kwa mtizamo wangu. unajua kila mtu ana uwezo wake aliojaaliwa na mungu. ww umeweza betting its good lakni mimi nimeiweza nas na gold. thats fine too, tupambane tu mana nia ni kufanikiwa tu basi
 
Kwa newbie yyte anaepitia uzi huu..ingia pdfdrive katafute vitabu vya forex for free. Anza na kitabu chochote tu, the simpler the better..anza na moving average pamoja na fibonnacci kisha miks na trendlines. Ukizoea hvyo utakwepa kelele za cjui BTMM cjui ma nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…