Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MFF alisepa na live accounts za watu kimya kimyaa ile imeumiza mioyoo balaa mzee mana watu walijibana wapate mitaji kulee daaahTwendeni wa tz wa misri,kenya,s.a,nigeria ghana mbona Wana malambogini,
Afu sisi tunajizalau tu tunajiweza sema negativity sana, ingekuwa mond hawajazingua ningewaonesha,ilà mond mnazngua sana.
Afu kama mtu haijui fx kuwa inaweza kukutoa dk 1 kutoka fukara hadi millionaire ,,kaa kimya hii comment si kw ajir yKo
Hakusepa ,sheria za fedha za kimataifa zilimbana ,kuna sheria kali sana kwenye broker waliosajiliwa marekani na Canada.MFF alisepa na live accounts za watu kimya kimyaa ile imeumiza mioyoo balaa mzee mana watu walijibana wapate mitaji kulee daaah
Vidola vyangu?? Umetoa nyingii sana dola huko eeeh?? Unafanya hyo MFF sahv au una firm ingine?Hakusepa ,sheria za fedha za kimataifa zilimbana ,kuna sheria kali sana kwenye broker waliosajiliwa marekani na Canada.
Wameweka vigezo vikali ,sana ni verified trusted firmly ,ana mtaji mkubwa hawez sepa na vidolari vyako,go take customer care help.
Now kaanzisha competition for free kazi kwako
Sipendi firmly cyo muumini nayo sana, but firmly ni nzuri sometimes Kwa kuwa kimbilio wakati huna mtaji,Vidola vyangu?? Umetoa nyingii sana dola huko eeeh?? Unafanya hyo MFF sahv au una firm ingine?
Mpole mbishi kwa unachoamini. Wewe ni wale go getter yani unachokitaka utakipata tu. Safi mkuu, una experience ya muda mrefu unipe abc mkuu?Sipendi firmly cyo muumini nayo sana, but firmly ni nzuri sometimes Kwa kuwa kimbilio wakati huna mtaji,
But mm napenda battle Kwa asiri,
Ni aina ya watu wapole wakimya but wabishi mno kwny wanachoamini,so nafanya competition nijijue ladha ya wanaojua ,maana kule kuna wanaojua kweli na uzuri rekodi inaonekana.
Hamna ukanjanja ndo mana nasema kama ww ni bigginer au huziamin strategy zako,kaa pembeni kule utahaibika
Hakuna ujanja ujanja rekodi ya wakwanza hadi wa mwisho utaona
Trading in zone hakikupita kwenye macho yako boss?Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.
Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.
Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
No miracle ,no, no , kaa jifunze mwenyewe forex ni zaidi ya buying and selling.Mpole mbishi kwa unachoamini. Wewe ni wale go getter yani unachokitaka utakipata tu. Safi mkuu, una experience ya muda mrefu unipe abc mkuu?
Kinszungumzia nini hicho kitabu ?Trading in zone hakikupita kwenye macho yako boss?
Trading mindsetKinszungumzia nini hicho kitabu ?
Trading mindset
Unaweza ifanya as full time job?No
No miracle ,no, no , kaa jifunze mwenyewe forex ni zaidi ya buying and selling.
Ni zaidi ya yale yanayowekwa you tube ,ni zaidi.
Hakuna utajiri unaotangazwa kwny social medias,
Forex is mind game na si mind business.
Go jifunze , jipe muda usiogope how long take your journey ,asubuhi yako itafika.
Kaa chini jifunze kitoe kitu chako kosea hata miaka 10 but ukipatia utaenjoy ww na vizazi vyako
Afisa nani....hahahHamia kwa Afisa ubashiri kama kuna Jamaa wa Telegram nawakubali sana sijui wakenya au Wabongo ila wamenisevu sana
![]()