Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Jaman funded next ametoa, competition wa trader bora , sasa vigezo ni email yako tu,
Mm nimejoin the challenge ,
Atakupa dollar laki Moja hutakiw kupoteza dollar 5000 ,maana yake 5%
Ya kiasi alichokupa
 
Achaneni na haya mapoyoyo ,
Huko duniani kuna watu Wana Fanya south africa ,ghana ,kenya they doing mm leo sijafanikiwa kuwa seriously sana ilà nitawakilisha vyema ,naomba tuyaone majina ya matreder january
 
Kuna challenge nyingine january imagine ,leo tu mtu katengeneza dollar elfu 22000 ,profit challenge umeanza leo hadi mwisho wa mwezi ,
Ukishinda utapewa dollar elfu saba on cash.
Na account ya dollar laki tatu,nikizipata na kazi za watu naacha
 
Monds wamefunifungia sehemu ya picha,lakini I wish mwingie kwny website yao muone.
Watz wamelala mno .kuna watu wanafanya kinoma
Nataman wale watz wanaooshea kule instagram tukutane huko tukaoneshane umwamba.
Ingawa mm bado w mwisho mwisho.ila mwez hujakatika bado.
 
Mond nifungulie bhn picha acheni mambo yenu,mm sifanyi biashara hapa .na hamna yoyote niliye Fanya naye biashara.
Afu kama ww ni bigginer au hujiwezi au intermidiate kaa kule fumba macho ,huku wanaitajika wale miamba miamba kweli
 
Mond mnazingua nifungulieni sehemu ya picha,vijana waone wapate vibe
 
Twendeni wa tz wa misri,kenya,s.a,nigeria ghana mbona Wana malambogini,
Afu sisi tunajizalau tu tunajiweza sema negativity sana, ingekuwa mond hawajazingua ningewaonesha,ilà mond mnazngua sana.

Afu kama mtu haijui fx kuwa inaweza kukutoa dk 1 kutoka fukara hadi millionaire ,,kaa kimya hii comment si kw ajir yKo
 
MFF alisepa na live accounts za watu kimya kimyaa ile imeumiza mioyoo balaa mzee mana watu walijibana wapate mitaji kulee daaah
 
Hakusepa ,sheria za fedha za kimataifa zilimbana ,kuna sheria kali sana kwenye broker waliosajiliwa marekani na Canada.
Wameweka vigezo vikali ,sana ni verified trusted firmly ,ana mtaji mkubwa hawez sepa na vidolari vyako,go take customer care help.

Now kaanzisha competition for free kazi kwako
 
Vidola vyangu?? Umetoa nyingii sana dola huko eeeh?? Unafanya hyo MFF sahv au una firm ingine?
 
Sipendi firmly cyo muumini nayo sana, but firmly ni nzuri sometimes Kwa kuwa kimbilio wakati huna mtaji,
But mm napenda battle Kwa asiri,
Ni aina ya watu wapole wakimya but wabishi mno kwny wanachoamini,so nafanya competition nijijue ladha ya wanaojua ,maana kule kuna wanaojua kweli na uzuri rekodi inaonekana.
Hamna ukanjanja ndo mana nasema kama ww ni bigginer au huziamin strategy zako,kaa pembeni kule utahaibika
Hakuna ujanja ujanja rekodi ya wakwanza hadi wa mwisho utaona
 
Mpole mbishi kwa unachoamini. Wewe ni wale go getter yani unachokitaka utakipata tu. Safi mkuu, una experience ya muda mrefu unipe abc mkuu?
 
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.

Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.

Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.

Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
Trading in zone hakikupita kwenye macho yako boss?
 
No
Mpole mbishi kwa unachoamini. Wewe ni wale go getter yani unachokitaka utakipata tu. Safi mkuu, una experience ya muda mrefu unipe abc mkuu?
No miracle ,no, no , kaa jifunze mwenyewe forex ni zaidi ya buying and selling.
Ni zaidi ya yale yanayowekwa you tube ,ni zaidi.
Hakuna utajiri unaotangazwa kwny social medias,
Forex is mind game na si mind business.
Go jifunze , jipe muda usiogope how long take your journey ,asubuhi yako itafika.
Kaa chini jifunze kitoe kitu chako kosea hata miaka 10 but ukipatia utaenjoy ww na vizazi vyako
 
Usisahau uwe na kitu cha kujiingizia kipato ,na tumia pesa ndogo zaidi kama mtaji,usienvest out ya uwezo wako
 
No
No miracle ,no, no , kaa jifunze mwenyewe forex ni zaidi ya buying and selling.
Ni zaidi ya yale yanayowekwa you tube ,ni zaidi.
Hakuna utajiri unaotangazwa kwny social medias,
Forex is mind game na si mind business.
Go jifunze , jipe muda usiogope how long take your journey ,asubuhi yako itafika.
Kaa chini jifunze kitoe kitu chako kosea hata miaka 10 but ukipatia utaenjoy ww na vizazi vyako
Unaweza ifanya as full time job?
 
Back
Top Bottom