Rasmi serikali yaruhusu na kuzindua matumizi ya magari ya umeme Tanzania

Hizo Miles ni zaidi ya kilometa laki 6. Mi naona kununua EV au Plugin Hybrid will be the best bang for the buck kwa maisha yetu haya.
 
Hybrid betri inacost 5-20milio new Og!
Tena Hybrid battery ndio rahisi. Ikiharibika haifi yote, zinakufa cell (packs) kadhaa. Ambazo unaweza kubadirisha na ikawa fresha kabisa.

Mr DIY mzee wa Prius aliwahi nipa somo flani likawa la msaada sana.

Jamesdominic unaonekana muoga. Mzee maisha kujilipua. Mi ningekua na hela ningekua sample wengine mjifunze kwangu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha! Kama kujilipua ni Hybrid tu!.
 
Kama kweli wana nia ya kuona Watanzania wakitumia nishati salama wafanye kama Mauritius: kuingiza magari ya umeme iwe 100% duty-free kwa muda wa mwaka. Waone jinsi magari ya umeme yatakavyomiminika pamoja na vituo vya kuchajia.
Yes. Angalau waweke ata mwaka mmoja wa sample. Labda wakasema kuanzia 2025 July hadi 2026 June. Waone namba zitasemaje.
 
Maskini Tulia wenye pesa watanunua
Ndo shida ya uchawa hii, kuna wakati unajisahau unajiona uko juuu, sasa kumtamkia mtu eti maskini tulia wenye pesa watanunua. Alaf mtu kama huyu ndo aje kuwa kiongozi kha.. Busara negative 100. Acha dhihaka bhana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…