Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

Popoma mwandamizi anasemaje yeye kwani, maana alirukwa kichaa tangu Jana alfajiri alipojua huyu mzungu anaenda sajiliwa na Mganda Bado
 
Msikie mwenyewe

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hapa Aziz Ki kaingiaje sasa?
 
Karibu sana DEJAN hapa Lunyasi.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881] nguvu 1.

Nje ya mada, binafsi sijawahi kuwaamini race nyeupe ktk league yetu. Wacha nisubiri kuona.
Tatizo viwanja akienda kucheza mtwara au singida una mkataa hata chama akicheza tofauti na uwanja wa taifa mara nyingi hana maajabu ila huyo ni wa mda mfupi manzoki akimaliza mkataba wake kule atakuja kuungana nae.
 
Popoma mwandamizi anasemaje yeye kwani, maana alirukwa kichaa tangu Jana alfajiri alipojua huyu mzungu anaenda sajiliwa na Mganda Bado
Yule hana tofauti na manara kwanza anajifanya kila kitu cha simba anajua yeye leo kaumbuka alisema jezi zimezuia bandarini mara zimerudishwa ila ukiangalia ile video ni za kipindi kile simba wapo pre season ismailia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…