Rasmi Tundu Lissu anahutubia Taifa akiwa Gerezani, CCM mmekwisha

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.

Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .

Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.

Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.

Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.

Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note

Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
 
Poor calculations by CCM
 
Huyu jamaa ataingia pale magogoni one day yes... Mafisad yatapelekewa moto zaid ya ule wa jehanam
Hii mbona imeandikwa na Mungu sema binadam hawajui walitendao, uzuri wa lissu sio mtu wa visasi ,hao wakina (naibu waziri afya ,hawajui Dunia) mda mwalimu utaongea kama hawatakua wa kwanza piga magoti,Lissu is a president to be)
 
Back
Top Bottom