Rasmi Tundu Lissu anahutubia Taifa akiwa Gerezani, CCM mmekwisha

Samia na kundi lake samejikusanya ikulu wanamsikiliza mwanaume akitoa hotuba LiVE nchi nzima kutokea mahakamani
Wamemnyima platform kishamba akaichukua platform kiakili kwasasa anatazamwa zaidi kuliko wakati akizurura mikoani akiwahutubia watz wajinga kuhusu MRNE huku vyombo vyote havimtangazi. ILA SASA WANAMJENGA KWA MIKONO YAO MUNGU MKUBWA SIASA AKILI.
 
WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.

Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .

Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.

Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.

Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.

Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note

Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
Yaani mpaka aibu, serikali imefungua kesi na inaokoteza ushahidi...
 
Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,

trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.

henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
 
Wamemnyima platform kishamba akaichukua platform kiakili kwasasa anatazamwa zaidi kuliko wakati akizurura mikoani akiwahutubia watz wajinga kuhusu MRNE huku vyombo vyote havimtangazi. ILA SASA WANAMJENGA KWA MIKONO YAO MUNGU MKUBWA SIASA AKILI.
sikuhizi EU hawaendi tena mahakamani, martha karua nae sijui kajizeekea wapi, yule aliyefrwa naona attention ya media hamna tena
 
Hasira za nini kijana mpka unaporomosha matusi kiasi hiki jenga hoja tu inatosha kebehi,dharau,matusi havijawahi kuishinda haki Nikutakie usiku mwema huko ulipo chief.
sikuhizi EU hawaendi tena mahakamani, martha karua nae sijui kajizeekea wapi, yule aliyefrwa naona attention ya media hamna
 
S
Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,

trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.

henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
Sasa Trump hakuwa rais wakati anapigwa risasi kwahiyo ilikuwa ni uhaini ule?
 
WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.

Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .

Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.

Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.

Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.

Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note

Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
Hahahahaa!
Ndo kusema nyumbu hamna kazi kabusaaaaa!
 
Jamaaa anawatia vidole vya macho CCM na Mahakama zake hadi raha
 
Lissu analeta porojo mahakamani, kimsingi ni maigizo na kupotezeana muda. eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,

trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote. anazungumzia haki anazopewa gerezani zina uhusiano gani na kessi yake? yaani anatafuta simpathy za watu kinguvu.

henche nao taahira tu, eti wamwachie waendelee na siasa hoja yakipuuzi tu. anamwomba raisi amwachie kwani rais ni dpp? watu wengine mbowe sijui aliwatoa wapi!
Hayo uliyoyataja hapo juu sio uhaini bali ni ugaidi.

Unashindwa kutofautisha vitendo vya kigaidi na uhaini?

Lete ushahidi hapa kwamba serikali ya Marekani ilihusisha tukio lile na uhaini.
 
WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.

Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .

Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.

Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.

Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.

Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note

Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi

Kuna mbunge anaitwa Antropia nilikuwa naye pale kisutu jana. Anatufaa sana kama taifa.

NO REFORMS, NO ELECTION !
 
eti hajawahi ona mhaini mmoja, hoja isiyokuwa na mashiko, raisi kennedy wa marekani aliuliwa na mtu mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote,

trump alipigwa risasi na kijana mmoja na hakuwa na connection na mtu yeyote.
Marekani wanachukulia matukio haya kama ugaidi wa ndani (domestic terrorism) ama ugaidi wa nje kulingana na tukio.

Sio kila tukio linachukuliwa kama ni uhaini. Yapo mazingira mengi yanatazamwa hasa kwa nchi za wenzetu hata hapo Kenya , Uingereza, Marekani na kwingineko vitendo vingi ambavyo kwa hapa nchini vinachukuliwa kama uhaini wao wanavuchukulia kama ugaidi.

Kasomee sheria ya Marekani inayoitwa Patriot Act na Title 18 of US Code (Federal Anti-Terrorism Laws) utaelewa hao waliofanya majaribio ya mauaji ya Marais wa nchi hiyo serikali ilichukulia kama vitendo vya kigaidi.
 
WanaJF Mungu akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua.

Wakuu leo Mmememuona Tundu Lissu , afanyacho katika kesi yake ya mchongo ya uhaini, kweli amejua namna ya kutumia vyema vyombo vya dola vya serikali kuweka mambo sawa .

Anasema kama ushahidi upo twende mbele ,kama haupo kesi ikatishwe pale pale.

Pili anasema msajili hana mamlaka ya kuzuia chama cha siasa hasa kipindi cha uchaguzi.

Nilichogundua lissu yupo na fulaha ila watesi wake wapo hawajui cha kufanya.

Huwezi shindana na nyakati , CCM Mungu aliwapenda zaidi ila kwa heri, mtakunywa vidonge sana mwaka huu.
Thanks
Note

Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana , ila jifurahisha chukua form ni haki ya kila mtanzania kupitia chama chake maana tz haina sheria ya Mgombea binafsi
Yaani utafikiri hayuko mahakamani
 
Back
Top Bottom